Habar wadau nahitaji msaada wa kupata past papers necta, mock(dsm, north zone, southern highland zone) , papers za Gcas, Na necta exams za masomo ya BAM, additional mathematics, basic math, na bookkeeping na accounts.
Msaada please mwenye kuwa nazo ama atakaenisaidia mahali nnaweza...