Afisa Mikopo mwenye uzoefu wa kazi anapatikana hapa

MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
445
259
Habari wana Jf. Kijana mwenye uzoefu na kufanya kazi ya Afisa Mikopo anatafuta kazi. Ana ujuzi na uzoefu wa kusimamia mikopo ya vikundi na mikopo ya wajasiriamali wadogo na wakati (SME's)

Pia ana uzoefu wa mauzo na kutafuta wateja wa huduma za mikopo. Sambamba na hivyo ana umahiri na uzoefu wa kufuatilia madeni. Ukiwa una taasisi yako au unahitaji Afisa Mikopo ni Pm.

Ahsante
 
upo wapi?
 
Jaman na Mimi natafuta nafasi ya afisa mikopo(vikundi),,,na uzoefu wa miaka mitatu.
 
Habari wana Jf. Kijana mwenye uzoefu na kufanya kazi ya Afisa Mikopo anatafuta kazi. Ana ujuzi na uzoefu wa kusimamia mikopo ya vikundi na mikopo ya wajasiriamali wadogo na wakati (SME's)

Pia ana uzoefu wa mauzo na kutafuta wateja wa huduma za mikopo. Sambamba na hivyo ana umahiri na uzoefu wa kufuatilia madeni. Ukiwa una taasisi yako au unahitaji Afisa Mikopo ni Pm.

Ahsante
mwambie akalime.
 
Back
Top Bottom