Recent content by kaniki2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    Labda ndio wale wa Tanga.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi ni kweli kuhusu Nyerere?

    Umaskini = uchawi +imani chafu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Nani aliyekwamisha Katiba mpya?

    Kiongozi makini hatakiwi kufanya kama alivyofanya JK. Ni dalili ya kutojua ufanyalo na udhaifu mkubwa. Wanasema ni bora kunyamaza.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo: Nani aliyekwamisha Katiba mpya?

    Mfumo wetu huu ambao Rais anasikiliza zaidi chama chake kuliko watanzania kwa ujumla wao ni hatari sana. Tukiendelea hivi maendeleo ya kweli na kujikwamua kabisa kutoka makucha ya mabepari wa kimataifa HAIWEZEKANI. Lazima tubadilike haraka sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali 1
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wito wa kugoma

    This is great thinking. CCM wamekwisha wapumbaza watu already.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Kikwete anawaongelea zaidi Wazanzibari kuliko Watanganyika. Sijui kwa nini? Pakuanzia ni kura ya maoni kuhusu muungano.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

    So hicho kiti jimbo hilo ni cha ukoo? Katoka mwanafamilia mmoja kuingia mwingine?!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi kufanya ujasiriamali

    Usithubutu kuacha kazi. Utajuta. Jishughulishe ukiwa kazini tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli akagua mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) jijini Dar es Salaam

    Huyu ndiye aina ya viongozi wanaoweza kuipaisha nchi hii kimaendeleo. Matokeo ya kazi zake yanaonekana waziwazi. Lakini natamani kasi ya miradi ya ujenzi ingeongezeka. Ktk mikataba makandarasi wabanwe na wawezeshwe kuzingatia muda na ubora wa barabara. Wafanye kazi usiku na mchana 24/7. Kenya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji foreign experts katika swala la katiba,wataalamu wetu wamepoteza credibility!

    Nahisi kama tunakurupuka ktk suala la katiba. Sioni umakini na nia njema 100%. Hususan suala la rushwa, uongozi wa hovyo, mikataba ya rasilimali zetu na nation vision on earth n.k. Sijui ngoja tuone.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wafurika kuona Rais alivyotumia Mapesa ya Ufisadi Kujenga Jumba la Kifahari

    Zaidi ya Nyerere, kuna rais ambaye hajawahi kuiba na kujinufaisha Tanzania na Zanzibar?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

    Hii ni hoja ya maana. I wish kila mtu angekuwa na mtazamo huu. UOTE=Bongolander;8747621]Mkuu siku zote huwa napenda kuangalia uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania beyond Paul Kagame na JK. Believe me hakuna ugomvi kati ya Rwanda na Tanzania, issue ya sasa ni ndogo sana. Ni kweli PK ana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA) wahukumiwa kifungo

    Kwa nini Liyumba hakupewa option ya kulipa faini? Haki iko wapi mahakama?
Back
Top Bottom