TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA KWA VYOMBO VYA HABARI ILIOTOLEWA NA KAIMU KATIBU MKUU SHAKA HAMDU SHAKA KWA WAANDISHI WA HABARI AGOSTI 13 MWAKA 2016 JIJINI DAR ES SALAAM.
Baina ya tarehe 12 na 16 Agosti mwaka huu mtu mmoja anayejiita kada na mwanachama wa CCM amekutana na vyombo vya habari pia...
Ifike mahakala nchi yetu hii ibadilike hass mambo yanayohusu sale za jeshi! Nchi nyingine mbona hakuna shidaa? Marekanj zinauzwa kabisa madukani! Nimeshangaa sana hapa Tz hata kupata bendera ya nchi ni proses ndefu mno
Nilipata bahat ya kukiona hicho kitabu kabla hakija printiwa kimsingi ni pumba tupu zilizomo ndani humo. Bwana Yeriko ameamua kumfuata bwana Evarist Chahali anachokiandika lakinu hamna kitu
Naomba kufahamu wana JF hapa hivi Mapato ya Ukusanyaji kodi yametangazwa kwa mwezi ulioisha jana? Maana huenda nimepitwa sijasikiaaa. Kwa mwenye taarifa kamili tafadhali.
Nadhani ni mfano wa kuigwa. Diamond anarejesha kwa jamii. Napata shida sana kuona watu wqnambeza hata kwa hilo. Nilini watanzania tunatajifunza kukubali mchango wa vijana wetu? HATA MBUNGE WA ILALA HAJATOA MCHANGO HUOO
Nina utaalamu kidogo wa maswla ya ukinzi nina Diploma ya Close protection leval3. Nitasema na kuchangia kitaalamu kidogo. Walinzi wengi wa Tanzania hasa wa viongozi wetu bado hawafuati taratibu na kanuni za ukinzi wa VIP unavyotakiwa kuwa kitaaalamu. Nikwamba viongozi wetu wanalindwa na mungu...
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita...
Naomba kujua wana jamvi. Hivi FIFA hua naona inakataza kupeleka migogoro ya michezo mahakamani. Sasa nikama miezi3 sasa naskia juuu shirika la ujasusi la Marekani FBI kufuatilia tuhuma za rushwa FIFA na vigogo kadhaa kutoewa akiwemo rais wa Fifa. Nataka kujua uhalali wa FBI kuichunguza FIFA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.