Recent content by Kandu88

  1. Kandu88

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO hivi ni Kwanini units za umeme wa Luku sasa hivi zinaisha kwa haraka kuliko zamani?

    Hili nikajua ni kwangu tu kumbe ni kwa maeneo mengi shida ni kubwa hivi, basi wahusika ni tanesko wenyewe kuna namna wanatupiga.
  2. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    Lazima akuachie ulemavu[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hajawahi kutana na pis mbovu, zote ni kali[emoji23][emoji23]
  4. Kandu88

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kilosa, Morogoro aje Dar. Biology & Geogy
  5. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aiseee
  6. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

    Ponjolo amewalisha limbwata mashabiki wake huwaambii kitu hata aseme watamsajili messi wao ndioooooo. Hapo habari za Manzoki ndio kwisha tena.
  7. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Hongera mkuu, simulizi ni nzuri na umeimaiza vizuri.
  8. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli imekuwa ngumu.
  9. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

    Safi sana Mond, ila asisahau tukila atupigie number one na tukiliwa atupigie moyo wangu.
  10. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Imegoma mkuu
  11. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilikuwa na pilika nyingi mkuu kesho nitakuwa nakuvizia ukishusha mzigo na me nipo.
  12. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona harakati zinaendelea.
  13. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu
  14. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Nini majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais?

    Kwani mnunaji mwenyewe anasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Kandu88

    JamiiForums Tanzania Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Kwann hao majini wanaosimuliwa wengi wao wakijigeuza kuwa binadamu huwa wanakuwa na asili ya kiarabu na isiwe mzungu, mchina, mjapani au muhindi?Kuna uhusiano gani kati ya waarabu na majini?
Back
Top Bottom