Recent content by kandawe

 1. K

  Uchaguzi 2020 Tamko la chama cha Julius Malema wa EFF juu ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

  Hivi neno ushahidi uko wapi ndo the only weapon kuwapiga nalo wanaolalamika? mengine hayahitaji kujua kusoma bali hata picha zinatosha kujua kitu
 2. K

  Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

  Viongozi hao ni pamoja na Mh Mbunge wa Kawe......😂😂😂 unategemea nini...Songombingo lote lililotokea Kawe anaona ni sawa na anajiita mtumishi wa Mungu na ni Mbunge mteule...inakatisha tamaa na hii imesababisha hadi kufikiria sana kama kweli haya makanisa yako kwa ajili ya Mungu wa mbinguni au ni...
 3. K

  Nani zaidi: Musabe Schools au Wizara ya Elimu?

  Zip your lips an stop talking fallas
 4. K

  Nani zaidi: Musabe Schools au Wizara ya Elimu?

  Huna mtoto anasoma na hujawahi kulipa school fees
 5. K

  Nani zaidi: Musabe Schools au Wizara ya Elimu?

  Huelewi na hutakaa uelewe,unataka kujiambia Wizara ni wajinga na unafikiri hawakuliona la Covid19? Walipotoa mwongozo wa ulipaji ada hawakujua kama form ziliandikwa kwa mwaka? Nonsense
 6. K

  Nani zaidi: Musabe Schools au Wizara ya Elimu?

  Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
 7. K

  Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

  Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
 8. K

  Nyamagana ya Mabula mnakwama wapi? Mbunge apunguze kufanyia kazi kwenye mitandao ya kijamii

  Mdudu umenichekeshaaa....... Kwa kweli katumiliki...maana Nyamagana ni ya Mabula....
 9. K

  Nyamagana ya Mabula mnakwama wapi? Mbunge apunguze kufanyia kazi kwenye mitandao ya kijamii

  Wanajamvi naamini mpo salama mkianza vizuri mwaka 2020 ambao tutaenda kufanya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kilichonifanya niandike uzi huu ni kuwa, kumekuwa na slogan inayotumiwa na Mh Mbunge wa Nyamagana kuwa "Nyamagana ya Mabula" na imekuwepo sasa kwa muda hadi na T-shirts...
 10. K

  Bollen Ngetti: Taifa linavuja Damu

  Sio lazima aanzishe chama,hata kuandika tu ni sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. K

  Rukwa: Rais Magufuli amtaka IGP kumshusha cheo na kumsimamisha kazi Kaimu RPC kwa kudharau amri halali ya Waziri Kangi Lugola

  Yeye kuna sheria anazosimamia,waziri alitamka kisiasa. RPC asingemjibu Mh Rais kuwa kuna sheria zinaniongoza,hekima ilitumika kumjibu. Angesema ukweli saivi angekuwa amebeba bunduki akilinda benki ya Posta.
 12. K

  Rukwa: Rais Magufuli amtaka IGP kumshusha cheo na kumsimamisha kazi Kaimu RPC kwa kudharau amri halali ya Waziri Kangi Lugola

  Keshapewa muda wa kutekeleza agizo na definitely keshafanya maana alirudi na karatasi nafikiri ina majibu ya utekelezaji wa agizo. Labda tena lizuke lile la waliowekwa ndani kuwekewa dhamana. Lakini inavyoonekana Mh JPM ameshamhurumia ni kazi yake sasa RPC kubadirika na aende na kasi ya Mh Rais.
 13. K

  Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

  Lissu wakati anapiga kelele juu ya maji ya mto Tigite kuwa na sumu ya madini toka mgodi wa North Mara,ni watanzania sisi tulimbeza na kusema anatumiwa na mabeberu.
 14. K

  Ubungo: Mkutano wa mtaa wa Makabe wazuiwa kisa Mnyika

  Halafu unakuta mtanzania nashangilia kuwa acha wakomeshwe wamezoea. Viongozi wakisimama majukwaani wanakemea ubaguzi na kusema maendeleo hayana chama. Hivi huwa wanamaanisha nini haswa!?
Top Bottom