Hiyo pack ya ufaransa nimeona Ina uzuri huu
1: kocha anaplaying style 2 pendwa possession na long ball counter
2: kocha anaongeza speed na ball control mfano mm O'Shea alikuwaa anafika speed 84 ila kwa kocha wa ufaransa anafika 86
3: mbappe 103, Dembele 102, Kante, olise na tchoumen wote wapo...