Recent content by KANCHI

  1. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Huyu vipi?
  2. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee kwa kufurahi na kufurahisha watu yuko vizuri

    Msimlishe maneno tu.
  3. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Makonda umetokea UVCCM, sasa hivi unawatisha watumishi kwa kusema wewe sio mwanasiasa!

    Lakini mkuu wa kaya anamsapoti.
  4. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

    Si ana wake wawili nadhani huyu jamaa.
  5. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Arusha ,mji ulionifanya kukosa amani.

    Na wewe ulikosea kumpa ushiriano kwa muda ule mchache mpaka picha ukapiga siku nyingine uwe makini hao sio watu wazuri inaonekana kabisaaaa.
  6. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Aplication ya Onlinetv wameiondoa channel ya Azam

    Mbona zipo.
  7. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

    Upi? Alikufa kwa ngoma au...
  8. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Si rahisi kihivyo aiseeee.
  9. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Misiba imekuwa gharama sana

    Mzee wa kaya akikaza tunaweza kurudi huko ngoja tuone..
  10. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Fundisho kwa mnaopenda kuchati chati hovyo

    Ni kweli kabisa hiyo style mbona ipo sana tu tuwe makini kwani imewahi kumkuta jamaa yangu yeye alikwapuliwa mkononi na mtu aliyepakiwa kwenye pikipiki hao wakatokomea zao.
  11. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Kama una degree/ diploma na unashindwa kujiajiri wewe ni mzigo kwa Taifa

    Maprofesa wenyewe tatizo hilohilo sembuse degree.
  12. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Graduate tuungane tutengeneze fursa

    Dar tukutane wapi siku gani.
  13. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Kakosa baadhi ya vyeo vya kuteuliwa tu ndio maana kaweka hewani.
  14. KANCHI

    JamiiForums Tanzania DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Viongozi wa africa ni rahisi kusahau alipotoka.
  15. KANCHI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    2020
Back
Top Bottom