Mwanamke ni upstairs bana,sura na figure tutavumiliana tu,afterall hizo variables mbili i.e. sura na figure sio za kudumu,baada ya muda flani huwa zinabadilika sana tena unaweza hata ukapanic ukidhani sio yuleyule aliyekuwa anakupagawisha
Kijana hatuko hapa ili kudanganya bali kujadili mada iliyoletwa jamvini.Km kuna kitu hakiko sawa unaweza kuni-criticize na sio kunisingizia uongo. Au unadhani chuo kuanza 2007 haiwezekani watu wakawa wanasoma PhD sasa hivi??!!
Kijana nadhani unashindwa kuelewa mambo kwa upana wake,huwezi kutumia sample ya watu wawili watatu kufanya generalization km hiyo ya kwako. Kuna watu mimi nawafahamu walimaza UDOM na wako smart na kuna watu nawafahamu walimaliza UDSM<SUA n.k lkn hamna kitu.U-smart wa mhitimu largely inategemeana...
Kimsingi hilo tukio tunaweza kuchangia kwa mawazo mepesi tu coz we're not there and is less of our concern.Naelewa maumivu anayopitia huyo bwana,lkn kitu cha msingi ni kwamba hawa viumbe tumeambiwa tuishi nao kwa akili(source:co mm) ila inaonekana huyo jamaa haelewi sawasawa maana ya kuishi na...
Binadamu ni very complex creature na co wanawake pekee hivyo ili kumwelewa lazima umsome contextually, matatizo ya ndoa yanatofautiana kutoka moja mpaka nyingine km binadamu wote tunavyotofautiana. Nina mashaka sana na hiyo sample yako,co kwa uwingi wake ila kwa pattern ya hitimisho iliyoleta.
Kwa mademu wa kiswahili ninaowajua,utapigwa kamba mpaka uchanganyikiwe,kitu cha msingi km ingekuwani mm,nisingeuliza hayo maswali direct kiasi hicho ila ninge-observe kwa kufanya kitu inaitwa "Participant observation" ambapo ningemuuliza hayo maswali indirect na very informally na angejibu...
Mademu wa kiswahili ndivyo walivyo,wanadhani unaweza kula hela na muda wa mtu then umpotezee kiulaini tu!!Lazima akumalize kwa shaba.Wakati unakula hela zake unaona tamuuuu,lkn ukifika muda wa commitment unaona ugumu!!Mwaka huu, nyie na mama zenu; wanaowasaidia kusaliti badala ya kuwasaidia...
Ulichokisema ni sahihi kijana.Kuna kijana wa karibu yangu juzi kati hapa alikuwa amepata mchumba ila walikuwa hata hawajaonana na wameunganishwa km wiki mbili tu tena kwa skype tatizo likaja kwamba yule binti si akaanza kutoa list ya matatizo ya kwao ili kijana ayasolve.Matatizo yenyewe yanacost...
Kijana naona sasa umekomaa kiakili,kisaikolojia na kimatendo.Nimefurahishwa sana na namna ulivyo-handle hilo tatizo,umeonyesha ukomavu wa ajabu ambao bila hekima ya kuzaliwa na rehema za Mwenyezi Mungu usingeweza. Kimsingi kisa chako kinafanana na tukio nililowahi kukutana nalo back when I was...
Mdogo wangu umeanza kukua sasa,I'm really happyyyyyyy........Nasubiri shemeji aletwe nyumbani na mm kaka mkubwa nianze ku-negotiate mahali for the first time on behalf of wazee........Keep it up,ila usiende kwa Mwingira anaweza kuharibu mpango kabla hata huyo mchumba mwenyewe hajapatikana
Mke mwema anatoka kwa Bwana kijana ila mume mwema anatoka CRDB,NMB,Stanbic,standard chartered,M-pesa n.k. km vp jivue gamba,they are almost everywhere co lazima awe yeye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.