Inafahamika. Wanadai wanaemda kuunga mkono juhudi za mwenyekiti.
Chama chenye wafuasi wengi kinatumia mapato ya serikali kununua wafuasi. Inauma sana ubadrifu huu. Istoshe wanajinasibu kuwa wanapiga vita ufisadi.
Aidha, ccm inahofia nn upinzani unaokufa?
Wewe Masinki ndiye mshamba,
Enzi hizi watu wanapaswa kwenda na massa, nyakati, na majira. Mtu kama hakualikwa kwenye shughuli ya wati, anatumiaje kofia yake kuvamia? Kwa vile tu ni rc aruhusiwe kwenda kuharibu mambo ya watu? Aogopewe?
Ni woga wako ambao unakutuma ulaumu BAWACHA. Kunakostahili...
Kikatiba tuna mihimili ifuatayo:
1. Mahakama,
2. Bunge, na
3. Dola.
Watendaji wakuu wa mahakama ni wateule wa rais. Bunge pia lina mkono wa rais. Muhimili upi kati ya hiyo ni huru?
Kinadharia kila muhimili una uhuru kiutendaji lakini inategemeana. Dola inaamua inavyotaka. Hakuna siku wateule wa...
Wenye mawazo finyu kama wewe ni wengi. Akili yako ya kufikiri imeishia hapo.
Hili tatizo ni la kutaifa. Utafiti ulionesha kuwa 20% au 1/5 ya watanzania wana maradhi ya akili. Aidha, haya ni matokeo ya elimu duni wanayopata vijana nchini. Hawawezi kutofautisha giza na mwanga.
Motochini haya ndio aliongelea Dr Lwaitama: uelewa wa vijana wa nchi hii ni mdogo.
Hizi ni zama za maendeleo na matumizi makubwa ya sayansi na teknolojia lakini kuna watu wajitahidi kuwarudisha nyuma kimaendeleo.
Hakuna awezaye. CCM imekumbatia mfumo mfu.
Tofautisha mtu mjinga na mpumbavu. Sugu hajatukana. Mjinga ni mtu ambaye hajui ila akieleweshwa atajua asilolijua.
Mpumbavu akili zake ni kidogo au hana akili kabisa akili za utambuzi. Huyu hata umfundishe vipi hawezi kuelewa.
Kuwa maelezo hayo mafupi umenielwa kwa vlle wewe si mpumbavu.
Haya yalikuwa yanatokea nchi jirani: Kenya, Burundi, Rwanda, nk.
Watu walionya mapema kuwa watu wanachzea amani ya nchi; wakaona ni utani!
Kwa mtindo huu, ambapo watu wasiojulikana hawajawahi kufikishwa mbele ya sheria, kanuni ya jino kwa jino haiko mbali.
Nitamkubali kama ataanika orodha ya watu wasiojulikana ambao ni tishio kwa maisha ya wenzao.
> Aliwezaje kuwataja wauza na watumiaji wa madawa ya kulevya akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA, na
> Wanaume waliotelekeza watoto akiwemo Lowasa.
Hawatakiwi viongozi waongo, wanafiki, wenye visasi, na...
Wewe ndiye umepotezwa kabisa na siasa:
1. Waitara si mwanasiasa?
2. Tunajua kuwa ccm inamjengea mazingira na nguvu za kumng'oa Heche; wananchi hawataki, na
3. Kabila lile lina msimamo. Asifikiri ataweza kufaulu kutumia nguvu za dola kushinda uchaguzi.
Atakawafanyia wananchi wa Tarime...
Mkapa alikuwa nani, na sasa ni nani? Tuanzie hapo.
Mkapa ni rais mstaafu wa Serikali ya Mwuungano wa Jamhuri ya Mwuungano wa Tanzania, na in kada wa CCM.
Leo amekuwa muumini wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa! I would not believe him. Ana ajenda iliyofichika.
Amekemea yanayoendelea...
Kiasi uko sahihi ila unaangalia walikoangukia.
Moi anakumbukwa kwa kuruhusu siasa za vyama vingi vya siasa na jitihada zake za kujengea Kenya umoja wa kitaifa.
Sisa katika mazingira ya tawala Robert Mugabe, Zimbabwe; Kuruzinza; Burudi, Kagame; Rwanda, na Tanzania ambako vyama vya siasa vya...
Wanafiki ndio wanakwamisha nchi. Kitila anapotosha hoja ya uchumi wa nchi akijua fika kuwa anachokisema si kweli. Kabla mhe hajapewa ulaji serikalini hoja zake zilikuwa zinasimama. Sasa hivi anashangaza.
Lakini hii ndiyo hulka ya wasomi wa nchi hii. Wapo wale waliotuingiza chaka la makanikia...
Watu kama ninyi ndio wa kupuuzwa. Hamjitambui wala hamna akili na uelewa wowote.
Ulevi wa madaraka ni ulevi kama ulevi wowote ule. Viongozi wa kisiasa na wafuasi wao hulewa kiasi cha kudhani dunia ina umbo la tufe na inazunguka kwenye mhimili wake. Sehemu yake isiyomlikwa na jua inakuwa gizani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.