Ukiwauliza wana Hai Mbowe Kafanya Nini Jimboni Kwake Watakuambia Mambo Mengi Sana Utastaajabu Yakiwano Haya Machache

FB_IMG_1570488518462.jpg
 
Macho ya wana CCM wengi hayana uwezo wa kuona maendeleo ya wapinzani yanauwezo wakuona rushwa wanazopokezana,ndio maana wanaweza wakasifia na kupongeza kilichofanywa na viongozi wa CCM kuliko vya wapinzani ili siku nyingine mkono uingie kinywani kwa njia ya hongo.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kumbe ili utoe misaada nilazima usaidiwe na Wana Ccm harafu haohao unaanza kuwatukana duuu; Kumbuka mpaka hata zile double cabin na pikipiki zilitolewa na Mwanaccm Edward Lowasa, na Mbowe naye aliwekwa kuwa Mwenyekiti na Mwanaccm na Baba Mkwe wake aitwaye Mtei. Nilichokigindua ili mambo yaende lazima yatoke Ccm, sasa hapo Wapiga kura tumeelewa CCM inatosha hamna kuhangaikia wategemezi wa CCM. 2020 ndo hii mbinu ya Wapinzani imeisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wenye mawazo finyu kama wewe ni wengi. Akili yako ya kufikiri imeishia hapo.
Hili tatizo ni la kutaifa. Utafiti ulionesha kuwa 20% au 1/5 ya watanzania wana maradhi ya akili. Aidha, haya ni matokeo ya elimu duni wanayopata vijana nchini. Hawawezi kutofautisha giza na mwanga.
 
Hizi hearsay zinampotezea muda sana mbowe na kumdangamya, wapiga kura wake ndio wanasema hajafanya kitu , sasa nyie mnaosema kafanya basi tuone uchaguzi ujao wapiga kura watafanya maamuzi gani, huu utetezi wa mtandaobi haumpi kura Mbowe.

Mbowe alitakiwa akae na wananchi wake akiri wapi alizembea na kwa sababu gani, Wananchi ni waelewa sana
Jiwe anadai amefanya mengi wakati uchaguzi wa serikali za.mitaa tu anaiba.
 
Mbowe anakusanya kodi?
Wakusanya kodi ndio inatakiwa waulizwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaouliza wanajua Mbowe hakusanyi kodi ila anapeleka misaada jimboni kwake kwa kujinyima mshahara wake Yaani Mbowe anatoa hela yake kununua Ambulance wakati wabunge wote wa ccm ambulance zinaletwa na serikali hakuna mbunge wa ccm hata mmoja alonunua ambulance kwa hela yake akapeleka bungeni
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kumbe ili utoe misaada nilazima usaidiwe na Wana Ccm harafu haohao unaanza kuwatukana duuu; Kumbuka mpaka hata zile double cabin na pikipiki zilitolewa na Mwanaccm Edward Lowasa, na Mbowe naye aliwekwa kuwa Mwenyekiti na Mwanaccm na Baba Mkwe wake aitwaye Mtei. Nilichokigindua ili mambo yaende lazima yatoke Ccm, sasa hapo Wapiga kura tumeelewa CCM inatosha hamna kuhangaikia wategemezi wa CCM. 2020 ndo hii mbinu ya Wapinzani imeisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unapaswa kujua kuwa hela sio za CCM kodi ni wanaotoa wananchi wa Tanzania sio ccm HAO CCM hawana hela zozote hela zote ni kodi za wananchi
 
Unajua kazi za mbunge wewe? MAGUFULI alipokuwa mbunge alofanya nn kule chatte?
Hizi hearsay zinampotezea muda sana mbowe na kumdangamya, wapiga kura wake ndio wanasema hajafanya kitu , sasa nyie mnaosema kafanya basi tuone uchaguzi ujao wapiga kura watafanya maamuzi gani, huu utetezi wa mtandaobi haumpi kura Mbowe.

Mbowe alitakiwa akae na wananchi wake akiri wapi alizembea na kwa sababu gani, Wananchi ni waelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitikisa vizuri hiyo bongo yako kabla hujapost hii mada? Nyuma ya hiyo unayoiita misaada kuna lililojificha
 
Back
Top Bottom