Recent content by KANAL

  1. K

    Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

    MAMA kapata URais kwasababu ya Katiba yetu, aendelee kumshukuru. MUNGU kwa kuteuliwa hapo mwanzo kua makamu wa Rais bila hivo ingetuchukua labda karne kupata Rais mwanamke. Vilevile sio kila jambo linatokea limefanywa na MUNGU hata shetani anakazi zake pia.
  2. K

    Nashauri kuwe na Siku Maalum ya Waafrika wote 'Kujiombea' kwa Mwenyezi Mungu Ili tuwe na Akili

    6 hapo umenena wasomi wetu wanasoma ili wakafanye malingo ofisini na kutambiana.
  3. K

    Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    Tanzania ni nchi yenye raslimali nyingi halafu inawajinga wengi, hivyo kwa nchi kama China hiyo ni fursa kwao kuja kuchota kwa kisingizio cha uwekezaji.
  4. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    ukisikia uchawi ndio huu,wewe kupita tu umeshajua wanaiba?vipi kama wanafaulisha kutoka tenki la akiba kwenda main tank?
  5. K

    Moto na Moshi Mkubwa umetokea kwenye kambi ya jeshi la Urusi kwenye Mji wa Belgorod

    Jamaa walikua wanachoma taka ngumu na matairi katika kufanya usafi wa kambi wao wamesheherekea mei mosi kwa style hiyo over!
  6. K

    Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    MUNGU atende muujiza sio kwa huu mkenge tuliouvaa! Corona ni hatari tujikinga kwa kunawa mikono Mara kwa mara
  7. K

    Plot4Sale Viwanja Misugusugu

    Bei ni muhimu mkuu kabla ya Ku pigiana simu
  8. K

    Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Waafrica wapo wengi magenius ,sema waafrica tumejaaliwa roho ya ubinafsi na tamaa ndio hatusongi mbele. Ukitaka kujua waangalie maprofesa wetu hapa kwetu wamesoma lakini ikitokea jambo ambalo lina maslahi kwa taifa hauwezi kuwasikia wakijenga hoja za maana
  9. K

    Watangazaji wengi wa Television na Radio hapa Tanzania wanagangamala sana utafikiri wanakula cement, na wanatumia sauti zisizo zao (artificial)

    kuna mtangazaji wa Abood Fm hata mimi ananikera sana kwenye uchambuzi wa michezo yaani mropokaji halafu anaonekana hakuna anachojua kabisa
  10. K

    INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

    mkuu nahitaji ramani vyumba 4,kimoja master bedroom,viwili self contained na kimoja single,public toilet,store ,sitting roo ,dinning room na kitchen nina tshs 50000 mfuko wa shati tuwasiliane nikupe email unitumie nitaprint mwenyewe.
  11. K

    Pamba (cotton) inapandwa au inakuzwa kwa wingi mikoa au wilaya gani?

    Mh.dr tajiri tumbo kubwa,mikoa inayolima pamba kwa wingi ni hii ifuatayo:-GEITA,SHINYANGA,TABORA(igunga dc)SIMIYU,MARA na SINGIDA kwa baadhi ya maeneo.na wengine wataongezea
  12. K

    Je, unafahamu maana ya Hisa na Authorised Share Capital?

    nimekukubali sana mkuu uko vizuri kwenye marketing,kama kwenye huduma unafanya kwa uaminifu basi utafika mbali. nimechukua namba yako nitakutafuta mkuu nina mpango wa kusajiri upya kampuni ya ulinzi, ya awali nilisajiri jina la biashara ilikua muda kidogo by 2011.
  13. K

    Utakapokuwa Askari Usisahau mambo haya

    ubarikiwe kwa maneno yenye akili kama wangepita askari wetu hasa wale wa PGO na game warders wakasoma uzi huu hakika naamini wengine wangebadirika tabia zao.
Back
Top Bottom