Recent content by KANA KA NSUNGU J

  1. K

    Kamanda Kamuhanda kuhamishwa Iringa, yadaiwa chanzo ni mauaji ya Mwangosi!

    Jeshi letuu la Polisiiiiiii Ni chombo cha wananchiiiiii Kukamataaa waharifuuu ndiokazi yajeshiletu.
  2. K

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Aliye mpa mtatiro nafasi kubwa namna ile alokosea sana.Huyu bwana mdogo ana utoto mwingi na ndo maana ana leta bifu hata katika harakati za kukomboa nchi. Hii ina dhihirisha aliposhindwa ku solve matatizo ya CUF pale Lipumba alipokuwa hayupo. Kwa CDM tunajua wapo wengi wa kuongoza hata kama...
  3. K

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Chadema walipo omba waonane na Rais Ikulu kwa ajili ya kutoa duku duku zao juu ya sheria ya uendeshaji zoezi la katiba, tukashangaa nao CUF kesho kutwa wameomba ombi hilo hilo.Mara tukaona akina mtatiro wakicheka na vikombe vya kahawa mkononi wakiwa ikulu. Poleni sana CUF. Kesho CDM wakisema...
  4. K

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Kumbe mbio zote hizo ni kuibomoa CHADEMA na si kuhubiri sera zao kama vile kuwatafsiria wananchi habari za maendeleo, elimu ya uraia na kufichua ufisadi. Kweli CUF hakuna wabunifu na ndo kina kwisha hivyo
  5. K

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Kumbe mbio zote hizo ni kuibomoa CHADEMA na si kuhubiri sera zao. kuwatafsiria wananchi habari za maendeleo, elimu ya uraia na kufichua ufisadi. Kweli CUF hakuna wabunifu na ndo kina kwisha hivyo
  6. K

    Siri ya Mwenge wa Uhuru

    Twakukaribisha mwenge mgeni wetu uringe. Na wenyeji tukuchunge huku tukushangilia. Kwetu ukitoka mwenge uendelee mahenge Ila mwakani upange kuja kututembelea
  7. K

    Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

    Tendwa Kama ni hivyo anza na Philikunjombe kwa kuifuta CCM tuone jeuri yako :evil::evil: wewe
  8. K

    Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

    Tendwa Kama ni hivyo anza na Philikunjombe tuone jeuri yako :evil::evil: wewe
  9. K

    Wanasiasa na Lugha ya Vita: Hekima ya kupunguza sababu ya kuingia vitani na Malawi

    Mwana kijiji Nakuheshimu sana kwa makala zako.Lakini kwa hili nafikiri umeteleza tena sana.Si vyema kwa wakati huu kuonyesha kile unacho onyesha.Maana naona watu wengine wasio ishi katika maeneo husika baada ya kusoma comments zako wanasema bora tuwaachie wamalawi hilo ziwa. Suala la mpaka wa TZ...
  10. K

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Jamani Wa Tanzania Wenzangu.Mimi naona tunatakiwa sisi kama Raia , vyama vya Siasa au asasi na makundi mbali mbali ya hapa nchini inatakiwa tuwe kitu kimoja inapofikia suala la usalama na maslahi ya nchi.Hebu angalia Marekani walivyo na tofauti nyingi nchini mwao kama vile ubaguzi wa rangi...
  11. K

    Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

    "That was in 1960. 1961 we became independent. 1962, early 1962, I resigned as Prime Minister and then a few weeks later I received Dr. Banda. Mungu amuweke mahali pema. I received Dr. Banda. We had just, FRELIMO had just established itself here and we were now in the process of starting...
  12. K

    Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

    Mtukufu Rais Kikwete, hebu naomba soma hii link hapa na comments za wamalawi ndo ujue wako serious Cold war over Lake Malawi continues: Ghost of Kamuzu, Nyerere revisit Malawi | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
  13. K

    UHURU lataja majina ya Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa

    Hapo hakuna jipya.Unasifia kuwa limekuwa la kwanza kutaja, sasa limetaja nini hapo.Hiyo si ni list tu ya wabunge wote wanao unda kamati hiyo?Tunacho taka ni kuwataja wale tu waliokula rushwa kati ya hao hapo kwenye list.
  14. K

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Naunga mkono hoja ila kwa asilimia 40 tu.Najua CDM hawakurupuku, wanajua jinsi ya kum handle huyu kopo na makopo mengine ndani ya chama kama akina shibuda.Muda ukifika kwa njia sahihi ataondolewa tu.Haijalishi sasa au baadae
Back
Top Bottom