Ahsanten sana na sory kwa uandishi.
Ni kwel ndom ili burst na nmeshapima had miez mi5.na dr kasema ni conclusive.
Knachonisumbua ni hili lisilotaka kunyamaza na ulimi mweupe.
Na sio kwamba nilikua nao since then coz i never had any risk apart from hyo ndom burst.
And i rarely get sick.
Ndugu nisaidieni ushauri bla kunihukumu.Nikuwa sijawah kukanyaga hosptal tangu 2012 mwez wat3 lakini December mwaka jana kuna dem nlichepuka nae,bt nlvaa gwanda unfortunately gwanda lika burst bila kujua.
Ikabdi nianze kupga maombi about hiv.
Baada ya siku tatu nikambamba huyo dem amechepka...
Ndugu zangu wadau me nmemalza form six 2014 napenda koz ya internatiönal relation. Vp kuhusu koz je kuna ajira coz naogopa kuxoma af nkae mtaan bla kaz. tafadhal wanaojua nsaidien.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.