Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Tanesco wameturudishia ila nimehamia bar yenye kajenereta hapa so sina wasi hata muhongo akikata tena
Red caaaaaard
kwa nani?
italy wameumia marchisio kapigwa kadi nyekundu
Hiv km wakitoka sare Ur na IT inakuwaje?...
Hiv km wakitoka sare Ur na IT inakuwaje?...
Dak ya ngap wadau?
Hata mimi nilitaka niulize swali hili.