Recent content by Kamura

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vitambulisho vya NIDA havidumu, vinawahi kufutika

    Hakuna gharama yoyote anayotozwa mwananchi kama Kitambulisho chake kimefutika. Anatakiwa akiridishe ofisi za NIDA.
  2. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NIDA Kinondoni wanahatarisha Faragha ya Wateja wao

    Kwa kawaida utaratibu wa NIDA, mwombaji anapokamioisha hatua za kuthibitisha makazi, Serikali ya Mtaa na Uraia, Uhamiaji hatakiwi kubaki na fomu wala kujitafutia fomu kwa ajili ya kukamilisha hatua yoyote ile ya Usajili. Kutoruhusu kupiga picha ni moja ya hatua/njia ya kudumisha faragha ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

    Niliposoma uzi wa DC kuagiza PCCB kumchunguza DED tayari nikahisi kuna shida Geita. Na sasa naona sababu ya safari imewekwa wapi. Naamini kuna mengi yatafuata hasa kwa aliyeanzisha mvutano huu kuwa public. Mvutano wa DC vs DED, RC vs RAS, Waziri vs Katibu Mkuu ipo sana kama viongozi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU kuchunguza safari ya China aliyofanya Mkurugenzi

    Naona kuna tatizo huko Geita, haiwezekani DED asafiri DC asijue. Ni vigumu sana mtumishi wa umma kutoka katika Mkoa wake bila kibali sembuse nje ya nchi ambako anatakiwa kuwa na kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi! kwenda kukifunza nje si jambo jipya na duniani kote kuna sister cities. Nafikiri...
  5. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Kutumia Vitambulisho vya Taifa kupiga kura ni moja ya matumizi yake nimesikia kwenye vyombo vya habari hivi karibuni.
  6. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Seconded, ufafanuzi na udadavuzi wa kina, na Mimi hiki ndicho ninachokifahamu asante sana. Wenzetu Kenya wathamini sana Huduma Namba si Kitambulisho.
  7. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Duuh naona imani hakuna kabisa kwa NIDA na hii ndio inafanya hata watu wasifuatilie Vitambulisho vyao wakati vingine vipo tayari.
  8. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Mbona juzi tu Waziri Masauni kazindua ugawaji wa ID Musoma na kuahidi kuwapa wote mwaka kesho?
  9. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Kwani hakuna Watanzaia ambao hawajui Kiswahili? Kuna raia wa kuandikisha na kurithi ambao wana toka nchi mbalimbali.
  10. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    We zitembelee tu hizo ofisi zao usikatishwe tamaa na maneno ya mtandaoni.
  11. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Mbona wanatangaza kuwa vipo kwenye Serikali za Mitaa na ofisi za NIDA?
  12. K

    JamiiForums Tanzania NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Naona jazba imetawala kweli Vitambulisho vinachelewa lakini hao NIDA wanatoa Id's si kwa raia tu, kuna wageni, wakimbizi na walowezi. Usishangae kuona mhindi, mchina anacho. Lakini kuna watu wa asili mbalimbali ambao sana uraia wa kuandikisha nao wanapata cha raia.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    N Nenda ofisi ya NIDA kuomba fast track ya ID ukiwa na evidence ya kufanyiwa fast track.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Ni suala la utamaduni tu na utaratibu aliojiwekea mwanadamu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kuifumua NIDA juu chini, anatafuta bosi ambaye ni chini ya miaka 35

    Acha mvua inyeshe tuone panapovuja.
Back
Top Bottom