Download kwanza hii app halafu ujiunge nayo
Ukimaliza kujiunga , Fungua dream then ita sign-in
Ngoja ni download dls kwa mara nyingine ili nikupe maelezo kwa ufasaha zaidi mkuu
Ni kweli lakini kipindi kile naicheza siku fahamu kama kuna option ya kucheza wawili kwa code
Me nilikuwa nacheza na online opponents halafu hakuna kitu kizuri kama unapo mpiga mtu goli 4 au 3 bila kwenye kipindi cha kwanza halafu anaquit [emoji23][emoji23][emoji23] raha sana
Kama umeconnect DLS yako na Google play games na unakumbuka email yako basi hata ukilifuta halafu udownload utakuta kikosi chako kipo vilevile
Me nililifuta toka last year ila huwa nikilidownload nakuta kikosi changu kipo vilevile
Mimi hii dream niliifuta toka last year ,sa sijajua kama wafix na kuongeza vitu gani . Sababu niliona ni online na hakuna maajabu graphics kwa mashabiki ni giza pia kwenye sehemu ya kubuy players sikupenda mfumo wake pia wachezaji wanawahi kuchoka n.k
Forex ni nzuri ,unauwezo wa kuwa tajiri ndani ya muda mfupi na pia inaweza kukulia pesa yako yote kama usipokua makini
Inahitaji utulivu mkubwa, broker nzuri na pia inampasa mtu aisome na kuifuatilia vizuri kabla ya kutrade
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.