Yawezekana ni mkweli la mh huna uchungu na nchi hizo hoja wanazozipigani tunaona zina kweli na ndio maslahi makubwa kwa wananchi kwa maana hiyo mh hebu tanguliza uzalendo na tumia akili yako yote utasema ukweli but naamini kwa mashule yako na ufahamu huwezi kuamini uongo huu hebu kuweni wa kweli...
We nape ndio huaminiki kabisa umekuwa muongo matamko yako ni double standard hata sisi wanaccm wenzako unatukera kuwa realistic wewe ni mtu muhimu suala la balozi wa china limetuchafua kwa ajili ya uropokaji wako ni kweli hawa watu wameingia protea wamekuaga.acha mbwembwe dogo.
Wanaccm acheni siasa nyepesi kwa upande wa madiwan upinzani sio ngome yote idadi ya ccm ni kubwa mpaka nape mwenye akili ndogo aje awasaidie ama kweli ccm kwishineyi
Serikali yetu sasa imeamua kutufanya kafara kwa siasa.
Mimi natamani kutokee siku ambayo CHADEMA itafanya mkutano na polisi wasiingilie ili tuone kama kuna mtu atakufa tena. Maana ni kama polisi hawapo kwa kuzuia ghasia ila kuua watu. Very bad. Machozi ya watanzania kwa hiki kipindi kigumu...
ndg ibange nadhani na wewe ni gamba lenye makundi kwanini msikubali engine ya chama cha mapinduzi haifai hata kuovehall ni ya kubadilisha nyingine nayo ni chadema mkatae mkubali ccm hakuna jipya zimebaki fitina
tuntemeke toa ushenzi wako hapo wewe ni agent wa chama tawala chadema haikamatiki kamwe na subiri 2015 na amini usiamini slaa ni kiongozi bora kuliko wote wa chama chako potea mbali huko wewe mzushi mkubwa
Sober, Mnyika hajakosea isipokuwa wewe ndio unaonekana una masilahi ya moja kwa moja na jambo na wewe inaonekana umejawa na uccm zaidi kuliko utanzania na watu kama nyie hamtakiwi tanzania yetu,ukweli ni kwamba hii sheria lazima ibadilike kwa sababu nyingi pesa ya mtu unaipangiaje madhalani...
unapokuwa na chama zaidi ya kimoja unapoona chama hakikutendei haki lazima uangalie chama mubadala usiwe na mawazo mgandamizo ya ya kufikiria ccm tu wakati haiwatendei haki wananchi wake kama haya ya mgomo.majibu hayaridhishi na wewe unajua watu wakisema ukweli ni chadema basi chadema ndio chagu...
msemakweli umenikonga moyo sana hata mimi nimemuangalia huyu mwenezi kwanza hajui anachosema ni kanyaboya fulani na inaonekana kule huyu bwana ni kibaka fulani asiyekuwa na a wala b na watu kama hawa ndio ccm kazi kweli kweli.
ukiamua inawezekana walimu maanishe kwenye hili komaeni maana naona kama hakuna umoja hii nchi bila kukomaa lazima wakupunje onyesheni solidarity ya hali juu wote mkiamua kwa pamoja lazima watatoa maamuzi pesa ipo ila wachache wanaitafuna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.