Recent content by Kamkuki

  1. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Kwani vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vilikuwa wapi...!? Ambapo walio ratibu vurungu kama mnavyodai basi mkubali waliwazidi kete, "Mjitafakari ....!!
  2. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wote wahuni tu hao... Hakuna hata mmoja aliye tanguliza Utaifa mbele... Amphrey Polepole alitutahadharisha mapema lakini...
  3. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Kwani Dar kwa sasa imekaribiana na Sumbawanga au....!!?
  4. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Yule jamaa aliyekuwa anaigiza sauti ya Magufuli ulikuwa mradi wa Nani, na Kapotelea wapi?

    Contract ile ilifikia mwisho pale alipoondoka muhusika...
  5. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vitasa vya milango ya mbao tupeni ushauri

    Ningechangia lakini ndo kwanza Msingi unajengwa...
  6. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapinga Mkataba wa DP World wafanyabiashara walikuwa kimya. Gharama za bandari zimeongezeka kwa 500% hadi 700%

    Kwa hawa walio baka madaraka...!! Mbona ni wale wale, wote wana kashfa...
  7. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Working permit zaidi ya wiki sasa mtandao unasumbua haufunguki, nini shida?

    Wamefeli kila pahala, pako goigoi....
  8. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Inachezwa chini ya maji mno

    Tunao mbona, ahachwi ntu... ....Nao sahani moya
  9. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Updates: Vita vya USA-Israel vs Iran - Taarifa zangu za upande wa iran

    Watachutama tu, jeuri yote kwish'ney
  10. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Chahali: Hakuna ubishi tena. Samia ataondoka wakati wowote, hamalizi 2026. Ila kuifuta CCM kwa ujumla, tunahitaji njia nyingine!

    Ni sisi tunaojitambua, wala usiwe na hofu... Ni suala la muda tu.
  11. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    Hata mimi nimejaribu kujiuliza ivo ivyo, labda huenda bado ipo...!!
  12. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    Walicho kifanya Israel na Marekani sio kabisa ni unyama uliopitiliza, ...Nitasimana na Iran hata kama itashindwa ni uonevu wa hali ya juu kabisa.
  13. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

    Tulikofikia kwa sasa tuna hali mbaya zaidi ktk suala la "RUSHWA"
  14. Kamkuki

    JamiiForums Tanzania Watoto wa ndani ya Ndoa wapewe urithi zaidi ya watoto wa nje ya ndoa

    Braza Mshana, Kwangu iko ivo sasa... Kwa hiyo mi' sio Mtibeli au....!!
Back
Top Bottom