Recent content by kamjabari

  1. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Wenye akili nyingi huwa wanaishi nje ya mji

    Changamoto ni uchumi wa watu ,Watu wengi hufikiri watanzania hawana maarifa ya kutosha kujua umuhimu wa mambo kama hayo yamoyo wezesha afya njema ya akili na mwili. Mtu akipata shamba Pwani na akajenga anaanza kufikiria usafiri kumpeleka kazini daily
  2. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Pesa ni njia lahisi ya kubomoa na kuvunja familia uaminifu na umakini usipo zingatiwa.
  3. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

    Ila Afrika inachangamoto nyingi sana zinazo sababishwa na watawala wa nchi hizi. Kila kona ya afrika kuna sikika udhaifu na mambo ya kutisha yanayo filisi nchi hizo na kubinya haki za watu. Sawali la msingi tunalo paswa kujiuliza sasa : Je! Hu ndio wakati wa mabadiliko makubwa ya mifumo ya...
  4. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zitto Kabwe ni bonge la kupe

    Duhhh ,twaafwa! Kumbe jamaa ndivyo alivyo??
  5. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kuivamia JF kwa kusudi la kumkamta Maxence Melo halikubaliki na tunawaonya watu wanaoshiriki vitendo kama hivyo

    Uvamizi huo mchafu haukubaliki ,chombo huru cha habari kinanyememelewa kuvuruga uhuru wa wananchi ,Kwani wanataka kufinya haki za watu?? Na ni akina nani hao??
  6. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Ninaishi na maumivu

    Pole sana
  7. kamjabari

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima kupitia ACT: Nilizuiwa kurejesha fomu na Msimamizi wa Uchaguzi "Alikuwa radhi tuzichape"

    Aisee , lakini si tuliwaambia act suala la #NO REFOMS # NO ELECTION
  8. kamjabari

    JamiiForums Tanzania CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

    Unatakiwa kujibu hoja mbalimbali alizo zijenga kuhusu masuala mbalimbali yanayo endelea nchini Tanzania. Alafu, Hivi wewe na Gwajima mkiwa mbele ya Umma wa Watanzania nani anaweza kupewa atention???
  9. kamjabari

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenenzi wa CCM Dodoma akosoa wanaokejeli wasanii kugombea

    Sasa wachekeshaji wote wakiwa wabunge nani atatuchekesha na machawa wote wakiwa wabunge itakuwaje??
  10. kamjabari

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenenzi wa CCM Dodoma akosoa wanaokejeli wasanii kugombea

    Sasa wachkesshaj
  11. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hafai kuwa kiongozi kwasababu anatoa hadharani madhaifu ya Chama chake

    Acheni uongo ,Lissu ni kiongozi bora mwenye IQ ya ju ,Ndiyo maana CHADEMA kilimpa nafasi ya kupeperusha bendera 2020 Ku gombea kiti cha ju kabisa nchini petu cha urais. Mengine mtsongea tu ,labda Kama mna jambo lenu
  12. kamjabari

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

    Ccm na watanzania wote tusikubali kuendekeza huu ubaguzi ,utatu cost Sikh za usoni. Kama tulisha kubaliana mfumo was vyama vingi kwanini tunabaguana kwa misingi ya kisiasa???
  13. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Raia Ghana walalamika baada ya Rais wao Nana Akufo-addo kuzindua sanamu yake ilinokshiwa na rangi ya shaba!

    Viongozi kama hawa ndiyo wanasababisha Trump na wazungu we wenzie wanatuzadharau ,inaaezekanaje Rais kujitengenezea sanamu ya mabilioni ili hali wananchi wake wengi wanaishi maisha mabovu???
  14. kamjabari

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Trump Hana nia njema na watu wenye asili ya afrika ,ndiyo maana katika utawala wake kulikuwa na matukio mengi ya watu wa asili ya afrika kuawa na polisi Marekani na serikali Ku to jari
Back
Top Bottom