Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

Yaani watu wanaomba Uraia wa nchi zingine kwa ajili ya maslahi ya watoto wao.
Ndio maana tuna viongozi wengi Africa wakiwemo mpaka wapinzani ambao wana dual citizenship ili watoto wao wapate uraisi wa maisha
Wala msimshangae huyo maana katoa sababu hizo hizo
 
Ila Afrika inachangamoto nyingi sana zinazo sababishwa na watawala wa nchi hizi.

Kila kona ya afrika kuna sikika udhaifu na mambo ya kutisha yanayo filisi nchi hizo na kubinya haki za watu.

Sawali la msingi tunalo paswa kujiuliza sasa :
Je! Hu ndio wakati wa mabadiliko makubwa ya mifumo ya kitawala afrika kwanjia za amani au nguvu?????

Je! Inakuja afrika ya aina gani??
 
Back
Top Bottom