Sijafanya utafiti kujua ukweli wa taarifa hizo ila UWEZEKANO HUO UPO!
Nimekuwa nikibadilishana mawazo na baadhi ya Waadhiri hapo MLIMANI wengi wanalia UKATA na CHUO KINAENDESHWA KISIASA ZAIDI TOKA MUKANDARA awe VC.
Ina wezekana WAMEBUNI njia ya kujiongezea Kipato.
Nasikia hata DARUSO siku hizi...
Msekwa hajachoka !!!!!!
Tuna baadhi ya watu ambao wanajiita wanasiasa lakini hawana sifa yoyote ya kuitwa wanasiasa !
Siasa zetu zimevamiwa na watu wa majungu na waropokaji wengi sana.
Sioni busara kwa wabunge kupiga kelele za ufisadi ,fedha chafu bila kwenda mbali na kutuambia ni kiasi...
Zitto anapenda siasa ila kajichanganya mwenyewe!
Kilicho mponza ni Kupenda Siasa za kuzungumza na kufikiri baadaye!
Waulize wanaomjua tangu DARUSO!
Ugonjwa uliompata Zitto unaitwa "POLITICAL WITHERING" for unstrategic Politician !
Wana BOIZIA (Tabora School) tumepoteza mpiganaji Mzee wetu,Simba wa vita Mzee Rashid Mfaume Kawawa! Mzee Kawawa utaishi milele kwenye mioyo yetu japo umepumzika kimwili kwa sasa.Wana BOIZIA wenzangu mtakumbuka kuwa Mzee wetu Rashid Kawawa na Wenzake ndio waasisi wa ORCHARD enzi zile za Warsal...
Mimi sishangai baadhi ya wana Yanga kulilia ufadhili wa Manji kwani hii imeshakuwa sehemu ya utamaduni wa Watanzania walio wengi! Manji ameeleza vizuri sana kuhusu malengo aliyojiwekea wakati alipoamua kuisaidia Yanga na sasa ameona ni wakati mwafaka kuiacha Yanga ijiendeshe yenyewe kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.