Kwanini maridhiano yawe baada ya uchaguzi ule wenye mapungufu? Kwanini isingekuwa kabla kwasababu mambo yalikuwa wazi na madai yalikuwa wazi kwamba watu walitaka katiba mpya na mfumo huru katika tume ya uchaguzi ndio tuingie kwenye uchaguzi huru hata kama rais angeongezewa muda kupisha mchakato.
Siasa gani za kistaarabu kwenye mfumo mbovu wa uchaguzi?mzee amesema hapo kwamba mmoja ashindwe kihalali means ije katiba mpya , tume huru ya uchaguzi , kuanzia hapo mambo yatakwenda yenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.