Mkuu huoni hapa utakuwa umejiongezea adhabu?pesa utoe ya kutosha then ujipe mazoezi mengine magumu ya kimwili na kunyonya kama ndama.Huwezi pambana hapo ulipotokea mkuu utamuacha mzimaaa wa afya alafu wewe unaenda kunywa panadol za maumivu.Ukitoa mpunga mkubwa unatakiwa kula kwa starehe mkuu sio...
Aisee mkuu ndiloswali lililokuwa kichwani mwangu huyu jamaa ana familia kweli kwa ujinga ujinga anofanya in relation na umri wake mbona huu ni mzigo hata kwa mke
Ivi kama umetumia mbinu zoote na bado ukaona umefeli haachi hizo dharau si umuache kuliko kubadisha nyumba kuwa uwanja wa mapigano maisha yenyewe yanatupelekesha yanini kuishi na mtu anayekudharau na hataki kubadilika.Kumbuka ipo siku utampiga na kujikuta unaua bila kukusudia hasara ya nani
Naunga hoja mkono hili swala ni tabia ya mtu plus tretment ya mke maana kuna wengine akisha olewa ndio anabweteka na kusahau wajibu wake kwa mumewe.Kununa ovyo ovyo,gubu wakati wote na maranyingine hata tendo la ndoa linafanywa kwa masharti na bila furaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.