Le Mutuz amuopoa Zari?

Zari hana Mme zari ni mjane, hawala/bwana yake / ki ben ten/ Mdogo wake diamond waliishaachana.
 
- Wewe utaendelea kulia lia kumbe wewe ni kima maana unapenda sana kuamini wengine wote ni kima kama wewe, ha1 ha! ha! ha! kimaaaaaaaa utaisoma tu haya yako ndio maneno ya walioshindwa maisha, matajiri mjini wananipa deals za pesa kila siku wewe unakalia ujinga ujinga

- ok niambie wewe ulikaa Davis Mosha akakwambia ananiona mjinga na huku tunafanya business pamoja kama sio kima mwanaume wewe mbona hajakuchukua wewe kuwa business patner wake ha! ha! ha1 mburulazzz

Le Mutuz
Mkuu siku izi sikuoni na mapicha picha ya bandarini.
 
- ha! ha! ha! umeisikia habari ya Instagram Party au vipi mkuu I mean uliza habare ya mujini bongo kaka ni Le Mutuz Big Show U know, ha! ha! ha! ha!

- Ijumaaa Bukoba kwenye Fiesta U know Jumamosi nilikuwa Mwanza le bata za bongo ubatan, utaisoma tu!! ha! ha1 ha! tena hapa hapa!!


Le Mutuz
mwenyekiti
 
Jamani mbona bi dada hapo rangi yake imefifia sana tofauti na tunayo iona sasa au maji ya tz yamechangia? Mana sasa hata mzungu anasuburi, so kwa rangi ile unaweza dhani ana ulemavu wa ngozi
 
usidhani Sifa acha utoto kubwa jinga wewe miaka 50s una mambo ya shombo hivi!!!
Aisee mkuu ndiloswali lililokuwa kichwani mwangu huyu jamaa ana familia kweli kwa ujinga ujinga anofanya in relation na umri wake mbona huu ni mzigo hata kwa mke
 
- Davis Mosha ni business patner kama kuna anaoeletewa kuliwa utakuwa ulikuwa mmojawapo ndio maana unayajua sana, mimi na hangout na mabebz wa ukweli wewe huwezi kunizuia na wala sivunji sheria na wewe kwa vile ni bebez wa ukweli unakaribishwa usilie wivu le mburulazzzz!!

Le Mutuz
 
- ha! HA! HA! HA! Ha LE MBURULAZZZZZ MBONA HUKUSEMA LEVEL YAKO? ha! ha1 ha! ha! by the way Super Zari anakuja tena next month so mtachonga mpaka mwisho wa Dunia, usyoyaweza tuachie tunaoyaweza kaa pembeni uchonge wembe ni ule ule tu kudadeki!!

- We had a lot of fun Jumamosi at Kempisk Hotel na kesho yake at Double Tree Hilton, sasa anakuja tena ni Zanzibar ok!!

Le Mutuz
Ulikuwa unamlisha bamia tuu mtoto wa watu si ungekuwa unampa hata bilinganya
 
TV na radio station umiliki wewe? Kwa kipi? Hahha

Utaishia kulamba miguu ya wenye hela na utaishi Sana kwenu kima wewe kazi kutukana wabeba boksi wakati we mwenyewe lofa tu...

Utachezewa Sana na watoto Wa kike hapa mjini wakidhani ni same sex wao
Hivi hiyo TV ndo ile ya Yutyubu?
 
Back
Top Bottom