Recent content by kambaya

  1. K

    GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Kesho utakuja kutueleza damu lita ngapi imemwagika. Watanzania hawana huo muda wa maandamano. Ingekuwa lengo kuandamana kupinga matokeo watu wangenzisha reactions hapo hapo kwenya kata pindi matokeo yanasomwa. Sasa matokeo ya udiwani kwenye kata hola watu wametulia, matokeo ya ubunge kwenye...
  2. K

    CHADEMA tunahitaji wakina Robert Amsterdam watatu hivi

    Kinacholeta shida ni upinzani wa kupinga kila kitu. Mtu mzima kuna anajua kuchuja zuri na baya, Sasa hadi kwenye zuri unalazimisha lionekane baya hapo ndio upinzani unapokuwa wa ovyo kabisa. Upinzani unatoa hoja ndege hazijanunuliwa kwa kufuata utaratibu tumesikia na tumeanza kuelewa malalamiko...
  3. K

    CHADEMA tunahitaji wakina Robert Amsterdam watatu hivi

    Yani mpinzani akiuke taratibu na Sheria za nchi asichuliwe hatua kisa ana wakili/mwanasheria wa kimataifa kutoka ulaya. Hataamini anapigwa Tanganyika jerk brake ya Kwanza Central. Pale taratibu zinaendelea anapelekwa Kisutu. Sasa Amstadamu hii nchi sijui ataingia kupitia wapi kuja kumtetea...
  4. K

    GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    Niandamane kisa aliekuwa mbunge wa Hai kapoteza Jimbo Niandamane kisa aliekuwa mbunge wa Kawe kapoteza Jimbo Niandame kisa Mgombea wa uraisi kupitia Chadema kaikosa ikulu, na kampeni zake za kufoka tu kwa kujitegeza akimalizia na neno SAWA SAWA. Sasa Kama sio kushindwa wao walitaka ashindwe...
  5. K

    Wapinzani mnahangaika na Watanzania lakini Watanzania hawana muda na ninyi, wanamkubali Magufuli

    Mkoani kwetu shughuli zinaendelea Kama kawaida. Tunaouza nyanya na vitunguu pembezoni mwa barabara tumepanga Kama kawaida. Yani kiufupi Maisha yanaendelea Kama uchaguzi mkuu ulifanyika 2017, wakat ni juzi tu. Tuchape kazi. Kuingia barabarani ni kazi na matrafiki
  6. K

    GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Hii biashara imeshamalizika huku mkoani kwetu shughuli zinaendelea Kama hakuna kilichowahi tokea, wanaopanga nyanya na vitunguu pembezoni mwa barabara wamepanga Kama kawaida. Kelele zimebaki JF tu. Raia wameshasahau Kama kulikuwa na uchaguzi mkuu. Kila mtu Yuko buzy na shughuli yake. Watu...
  7. K

    GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Biashara imeshakwishwa wafanye shughuli zingine
  8. K

    Kwa kinachoendelea hatuwezi kufungua kesi kudai fidia?

    Huduma ya internet ipo Kama kawaida tu. Kama vyuoni tu au taasisi zinapoamua kuzuia baadhi ya mitandao isiweze kuwa accessed katika network zao ndio mambo yako hivo. Tunaosoma website za mambo ya kilimo na ufugaji huduma zinaendelea Kama kawaida.
  9. K

    GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    .... Nacheka lakin naogopa.... Ha ha ha ha
  10. K

    GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Baba levo ameconfirm kushindwa udiwani kupitia account yake ya Instagram
  11. K

    Nahitaji kiwanja

    Sehemu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

    Akili 09 Nguvu 01, Kila la kheri mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Wanaolima nyanya wenyewe wanafahamu aina na gharama za mbegu. Kwa mbegu za F1 hiyo Bei ni ya kawaida kabisa. Asiye na uwezo atanunua mbegu za kawaida. Kila kitu kina changamoto zake... Mbegu Bei rahisi haivumilii magonjwa na haizai Sana. Mbegu Bei ghari inavumilia magonjwa na inazaa Sana...
  14. K

    Mnanishari kipi nifanye au nirekebishe katika website yangu?

    Sijafungua hiyo link kwa muonekani wa picha tu bado una safari ndefu ya kwenda..... Jifunze haya Mambo kwa undani sana ( from scratch) 1. HTML 2. CSS 3. JavaScript Ukimaliza hapo jifunze principles of UI/UX design. Ukimaliza hamia kwenye polular frontend frameworks Kama bootstrap,jquery...
Back
Top Bottom