Recent content by kambani

  1. kambani

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    KYERUCU Ilikufa na madeni ya wakulima ndio maana hawautaki USHIRIKA
  2. kambani

    Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

    Naona neema kwa dr Shika kama imeamuliwa swala lake lifanyiwe kazi mapema iwezekanavyo..
  3. kambani

    GITARAMA: Jehenamu duniani!

    Mashahidi wa YEHOVA wamejitahidi sana kuelezea ukweli huo lkn ukinzani ni mkubwa mno kutoka kwa baadhi ya madhehebu. Ukweli ni kama alivyo Eleza mtoa post jehanamu ipo toka zamani hapa duniani.
  4. kambani

    Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

    Uporoto ipo juu kuliko nakete
  5. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Pateni ukweli kuhusu mashahidi kwa kupakua hapa "jw.org'tz
  6. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Huyo yuko nje ya topic
  7. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Na hao ndiyo walio iludisha Bibilia original kutoka tafsiri ya kigiriki neno kwa neno tofauti kabisa na bibilia za wengine ambazo waliliondoa jina la YEHOVA mahali pake kwa sababu wanazo zijua wenyewe. Katka bibilia original ya kigiriki jina Mungu wa kweli Yehova limetajwa mara 7000.
  8. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Unabii unatimia, Kwanza mtachukiwa na mataifa yote kwa ajiri ya jina langu na kwa ajiri ya kueneza habari njema za ufalme wa YEHOVA... Serikali ya urusi imewahi toa barua Mara mbili kupongeza juhudi za mashahidi... Hapo Kuna mkono wa dini zingine ambazo viongozi wake ni wandamizi ktk...
  9. kambani

    Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    Uwakili ni taaruma, Hata mtu aliye ua anatetewa na wakili labda kama unaishi nje ya ufahamu....
  10. kambani

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Watu wangu huangamia kwa kukosa marifa,,,, Yesu alisema kila aombae atapewa... Omba mwenyewe kwa kinywa chako mambo utayaona..
  11. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Kuna AMKENI NA MNARA WA MLINZI.
  12. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Acha uongo Nyerere ndiye aliye toa luhusu baada kujiridhisha na huduma yetu alituma watu walituchunguza na kupeleka ripoti
  13. kambani

    Mahakama Urusi yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

    Krismas imeandikwa wapi kwenye bibilia? Hiyo ni moja wapo ya tofauti na madhehebu mengine. Nikisema nipe andiko kuhusu krismas ntakua nimekutoa nduuki utaishia kusema ilibuniwa tu.
Back
Top Bottom