Mzizimkavu hii story uliyo leta humu ina mafunzo ya kweli, na chakushangaza huyo kiumbe anatamani kutubu ila ndo hawezi tena, ila sisi uku tuna nafasi hiyo twaichezea. Kingine hii story inavyo muongelea mwanamke, si kwa ubaya ila maandiko yamesema we mwanaume ishi na mwanamke kwa akili, huyu...