Mi kupima ikiingizwa kwenye katiba naukana uraia.

Ushauri mzuri...lakini kuna jambo tu nafikiria kivivu hapa, bila shaka kondomu zilitengenezwa kwa matumizi yafuatayo:
1. Kuzuia ujauzito kwa wanawake
2. Kujikinga na maambukizi dhidi ya HIV na STD's
Sasa hiyo nambari 2 ndiyo inayonifanya nifikirie kivivu kwa kutumia nadharia hii...
Kama mipira hii ilitengenezwa kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi,
Je walengwa ni kwa wale watu wenye mpenzi mmoja tu au wale wenye utitiri wa wapenzi?
Kama mtu ana mpenzi mmoja tu, kwa nini umtengeneze kinga, ajikinge kwa lipi?
NB:
Binafsi naona jambo la muhimu kusisitiza hapa ni UAMINIFU tu, huwezi kuvaa mpira katika muda wote wa mahusiano/ndoa.
huna ujanja. Ntakubuza utake usitake.
kupokea majibu ndio sheshe! kuna familia hiyo mdingi aligoma kwenda kupima, mwanamke kakomaa wakapime mwanaume kagoma, akaambiwa ahame chumbani mpaka hapo atakapokubali na kujua afya zao, miaka inakatika wanalala vyumba tofauti. chezeiya kupima shosti!
hahahaaaa mbele yako sifurukuti naweza kwenda..ila
sharti wote wawili tunapima
shosti naomba unisindikize nikizimia unipepee.
kupima shughuli pevu ndugu yangu
Hata mm Shoga yangu nakuunga Mkono kabisaaaaasasa Condom ina Raha gani km mmeoana?
Chagua wako mmoja kula kitu inataka sasa haya mambo hata jitu hulijui unalivulia yaani mm inakata steam kabisa yaani nitamwaga shingo upande mwingine
Ushauri mzuri...lakini kuna jambo tu nafikiria kivivu hapa, bila shaka kondomu zilitengenezwa kwa matumizi yafuatayo:
1. Kuzuia ujauzito kwa wanawake
2. Kujikinga na maambukizi dhidi ya HIV na STD's
Sasa hiyo nambari 2 ndiyo inayonifanya nifikirie kivivu kwa kutumia nadharia hii...
Kama mipira hii ilitengenezwa kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi,
Je walengwa ni kwa wale watu wenye mpenzi mmoja tu au wale wenye utitiri wa wapenzi?
Kama mtu ana mpenzi mmoja tu, kwa nini umtengeneze kinga, ajikinge kwa lipi?
NB:
Binafsi naona jambo la muhimu kusisitiza hapa ni UAMINIFU tu, huwezi kuvaa mpira katika muda wote wa mahusiano/ndoa.
Ndo maana huwa napenda "bwawa ".. ukimwi-free! Minato siifagilii.. lol!