Recent content by Kambale dume

  1. Kambale dume

    Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Kwa upande wangu Mambo ni tofaut nilikuw na ndoto ya kuwa padre au mjeda atimae nimeangua kwenye operator wa mitambo, loader, forklift na excavator cyo mbaya lkn maish yanaenda
  2. Kambale dume

    Kwa wasikilizaji wote wa Wasafi FM

    Hakuna kitu pale ni kundi la vijana wahuni mi ctak ata kuickia iyo wasafi fm
  3. Kambale dume

    Lodge au Hotel Dar es salaam

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakua ngoma droo
  4. Kambale dume

    Harmonize ameuliza, tumjibu!

    Umeenda wrong kijana
  5. Kambale dume

    Nataka kulisaidia Jeshi la Polisi; Muuaji aliyekimbia DSM anaishi hapa

    Safiii kijana tungepata vjna Kama ww kadhaa taifa lingenyooka aseee tuko pamoja litawafikia wahusika
  6. Kambale dume

    Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

    Pga kazi kijana maisha hayako fear aya
  7. Kambale dume

    Karibuni Ruangwa

    Mi wa kusini lakin napachukia 7babu ya ayo Mambo ya uchawi jah akibless kule sirud Tena nakomaa apa apa nilipo
  8. Kambale dume

    Nina leseni daraja E nataka kwenda NIT. Mwenye uzoefu naomba muongozo

    Habari wakuu Nahitajh kwenda NIT mwenye kujua taratibu zake, nikiwa na Maana mafunzo yanachukua muda gani, ada zake yote kwa ujumla.
  9. Kambale dume

    Naomba ushauri tafadhali

    Polee kijana
  10. Kambale dume

    Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Funga safar mpaka mkuranga pwani kijij Cha mkiu Kuna kiwanda Cha tailiz pale ajila zpo kila kukicha
Back
Top Bottom