Recent content by kamati

  1. kamati

    ATL invites qualified candidates to apply for the following open vacancies in Tanzania

    Ambae haamini namshauri aombe hiyo kazi ataipata akidumu miezi mitatu huyo atakuwa kajitahidi sana ili kuamini fuatilieni nyuzi zake za matangazo ya ajira yaani katika kipindi cha mwaka 2016/2017 ashaajili zaidi ya wafanyakazi 30 na kufukuza mpaka inafika wakati ofisi jirani hudhani ni chuo cha...
  2. kamati

    ATL invites qualified candidates to apply for the following open vacancies in Tanzania

    Kiukweli hata Mimi huyu mtu namfaham anaitwa Kwanama ofisi yake ipo pale Kinondoni B wanajihusisha na Mafunzo lakini kazi zao wanazifanya kwa utapeli mapungufu take ni kama yafuatayo Kwanza kabisa huwa halipi mishahara anakuajiri alafu hakulipi mshahara kabisa deni likiwa kubwa anakufukuza Nazi...
  3. kamati

    Job advertisement at affluence training ltd

    Hamna kazi hapa hiyo Kampuni hewa haijaonyesha ofisi ipo wapi mbili anatumia gmail hivyo ombeni mtanipa mrejesho Hamna kazi hapo
  4. kamati

    Wananchi Mara waandamana kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli

    Dalili ishaonekana kitambo moja ni namna anavyobana upinzani, mgogoro ndani ya CUF, na kukamata baadhi ya viongozi wa upinzani ni dalili kuwa jpm ataongeza mda tuko hapa narudia tena lazma atabadili katiba ili akae madarakani na haya maandamano wanaratibu wao
  5. kamati

    Looking for a Job

    NAOMBA NI PM NAMBA YAKO NTAKUTAFUTA TUFANYE KAZI
  6. kamati

    Gwajima is a whistle blower

    Hao mashehe hawajielewi wamepewa elfu hamsini hamsini wakaanza kufanya upuuzi
  7. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    Tapeli sana huyu jamaa ina maana hayo matangazo hajapata watu tu mods futeni post za huyu tapeli mdhulumaji
  8. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    MICROF COMPANY LIMITED BACKGROUND Microf is a company limited by guarantee incorporated in Tanzania on 27th January, 2016. Microf Company Limited provides three major services to the Tanzania Microfinance Sector notably; Microfinance Trainings, Consultancy and Research. In implementing its...
  9. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    MICROF COMPANY LIMITED BACKGROUND Microf is a company limited by guarantee incorporated in Tanzania on 27th January, 2016. Microf Company Limited provides three major services to the Tanzania Microfinance Sector notably; Microfinance Trainings, Consultancy and Research. In implementing its...
  10. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    MICROF COMPANY LIMITED Kampuni ya Microf inajishughulisha na utoaji huduma za mafunzo katika soko la Microfinance na pia Kampuni ya Microf inamiliki gazeti la Ujasiriamali liitwalo TAJIRIKA. Hivyo, tuna nafasi za kazi zifuatazo: TRAINING COORDINATOR (NAFASI 1) Sifa: Awe anajua vizuri soko la...
  11. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    Na hawa anaotaka kuwaajiri ni team kama ya 7 ndani ya mwaka mmoja fatilia post zake za kazi hapa jf ni nyingi mno huwaga anaajiri mwezi anafukuza hapa niko naandaa utaratibu nimpeleke mahakamani na ana kesi kibao
  12. kamati

    Secretary (1) & marketing officer (1)

    Huyu huwaga ni tapeli kwanza halipagi mishahara na ofisi zake zipo kinondoni B ni mzurumaji balaa kisha anawafukuza ndani ya miezi mitatu na nikampuni ya kuswahili inamadeni na haina uwezo wa kulipa hata mishahara ambaye hajipendi aende akafanye kazikisha aletemrejesho akidumu miezi sita mi...
  13. kamati

    Baba anataka nihudumie familia yake wakati sina huo uwezo

    Habari ndugu zangu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nimeajiliwa hapa kwa mda wa mwaka mmoja na nilibahatika kuoa miezi minne iliyopita kiukweli kipato changu ni kidogo sana changamoto inayonikuta ktk ndoa ni kuwa baba mkwe anamlazimisha mke wangu asaidie kwao kwa kuomba sukari nguo za...
Back
Top Bottom