MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
PBC Ltd ni kampuni mpya ya ushairi wa ununuzi na biashara. Tuko Tabora manispaa. Tunatafuta wataalamu wenye uwezo katika fani ya ununuzi (Procurement) na uhasibu (Accountancy)
Sifa:
Kwa upande wa Procurement; Mtaalamu awe na uwezo wa kuichambua na kuielewa vizuri Sheria ya manunuzi ya umma ya Tanzania, awe na shahada ya kwanza ya ugavi, awe na uwezo wa kuandaa responsive tender documents, na awe na uwezo wa kutumia computer kikamilifu.
Kwa upande wa Uhasibu;
Mtaalamu awe na uwezo wa kuandaa hesabu za biashara, awe na uwezo wa kuandaa maandiko ya biashara (business plans), awe na uwezo wa kutumia computer kikamilifu, awe na shahada ya kwanza katika uhasibu.
Kama una sifa piga moja kwa moja 0622 601903