watu waliohama ccm kuja cdm kwa kuenguliwa au kuangushwa kwenye kura za maoni sina imani nao, mfano slaa na shibuda wanafanana kila kitu, slaa anakua mkali kwa ccm kambi anayoinyea kwa hasira za kuenguliwa kuwa mgombea, shibuda anakua mkali kwa sababu hizhizo, kamati kuu iwahoji uwezo wao wa...