Recent content by kamarah1320

  1. kamarah1320

    Hii ni nini, kumuwaza mtu na baadaye akakutafuta?

    Yah ni kweli inatokeaga hyo issue mi juz kati nilishika simu nataka nimpigie mwana ghafla yeye akawa anapiga duh nilishanga
  2. kamarah1320

    Honor: CEO wa kampuni ya Honor asema kuwa watatengeneza software nzuri kuliko iOS

    Unasema nini wewe unaijuwa blackberry OS au Symbian kwenye Nokia au bado ulikuwa shule ya msingi mkuu
  3. kamarah1320

    Msaada jinsi ya kuunganisha subtitle kwenye movie iwe permanently

    Ukisha download subtitles hakikisha rename hiyo sub eng kuwa jina la movie yani mfano Movie The lone Ranger 2013 Subtitles nayo irename kwa Hilo jina husika la movie yako na ziweke kwenye folder moja
  4. kamarah1320

    Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha kazi

    Ya pili dem kwao kibah mi magomen so tukakubaliana tukutane kibamba so nikaenda kufika huko fresh dem alikuja ni mwenzie nikawapiga bia sasa yul mwenzie alikuwa kalewa sana nika book room nikampeleka chumbani kurudi mezani na mkuta jama kaka dem wang gafla dem anitambulisha kuwa kamarah shemej...
  5. kamarah1320

    Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha kazi

    Mkuu hii kitu ilishawahi kunitokea kama mara mbili hivi ya kwanza dem alikuwa na chura ile ya maana alafu juu mwembamba cku naenda naye location badaboda walikuwa wanapiga kelele sana yani tako heavy wakuu sasa nikafanya yangu kumaliza mda wa kuondoka demu anataka laki2 mi kwa simu nina elf35...
  6. kamarah1320

    Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

    Mwaka jana mwanzon hivi nilieanda hotel flan hvi iko magomen sasa yule jama wa reception kashanizoea so nikawa nalipia room jama akaanza kunisimulia mkasa moja hivi ulitokea pale yan kuna jama alifika akalipia room mixer na msosi wa maana na pombe za kutosha demu hakuja wala nini jama ikabidi...
  7. kamarah1320

    Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

    Mi nilikuwa na kula block only night [emoji287] Alaf Mchana anapatikana dah ilikuwa hatar sana ila mapenz ni kiboko
  8. kamarah1320

    Baadhi ya mitaa ya jiji la Teheran Nchini Iran .

    Kwahyo kwa fikra zako hakuna search engines zingine zaidi ya hiyo gugo ya beberu
  9. kamarah1320

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Hii ngoma kuna siku ilipigwa club berlin dah so powa
  10. kamarah1320

    Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

    Gharama zinakuwa vp huko mkuu
Back
Top Bottom