Recent content by Kamarada

  1. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

    Saafi sana..!! Tunaomba ndege yake impakie na BM wetu warudi nae TZ, wapenda soka tumemmiss sana.
  2. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu, kiufupi sema: NATO ni USA na USA ndiyo NATO yenyewe. Ukweli utabaki kuwa hivyo..!!
  3. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

    Waache longo longo, waweke bidhaa zao ndani, zinazo zidi waweke kwa stoo or waongeze fremu. Mbona Mini na Supermarkets wanauza bila ya kuweka sample nje..?? Analetaje bidhaa nyingi kuzidi space aliyonayo ya kuuzia..? Washikishwe adabu hao, wasiturudishe nyuma tena.
  4. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏 You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏
  5. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

    Nakubalina na wewe, I wish wangempeleka Dsm angefit sana.
  6. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mpori mpori

    Duuhhh
  7. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    MW358, huu ni umeme ni mwingi sana. So far kwa vyanzo vyote hivi tena vya umeme wa maji, tuwe na imani tutapata umeme wa uhakika na gharama za uzalishaji zitashuka. Hivyo, tuamini pia na bei za bidhaa zitashuka kwa kiwango fulani. Hongera sana kwa Govt na wa-TZ wote..!!
  8. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Aiseeehhh hili tatizo kwa Taifa..
  9. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Ni kweli Mkuu kuwa gari ni gari tu lakini kuna gari zinahitaji kuendana na status ama heshima ya mtu ktk jamii. Ni kama vile kusema mavazi ni mavazi tuu, kisha mtu mzima mwenye staha ukavaa tight jeans zile za kuchanwa chanwa, micheni mikubwa mikubwa na mapete vidole vyote kumi.. Hii lazima...
  10. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Hawa vijana ni bange sana kwa kweli hahahaaa..
  11. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Hahahaaa wewe Mkuu nimekukubali sana. Yaani hawa padogo wakisoma comments kama hizi ndipo watajitambua kumbe wao si lolote wala si chochote kwenye game ya kumiliki ma Private Transport..
  12. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Duuhhhh aiseeehhh hii inaitwa kushikisha adabu. Asante sana kwa kumuadabisha huyu na hatimaye mkafanikisha kumbadili tabia ya kiburi. Well done Mkuu..!!
  13. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Hahahaaa teh teh teh teh, yaani nimecheka kwa sauti sana Mkuu hahaaaa. Asante sana kwa experience yako..
  14. Kamarada

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

    Hii inaukweli kabisa, hata mimi nimewahi kuwaona baadhi..
Back
Top Bottom