Recent content by kamanzi

  1. K

    Uteuzi: Rais Magufuli amteua Mzee B.W Mkapa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma

    Wewe jamaa upo juu sana. Huwa siandiki kitu humu ila jibu ulilotoa nimeshindwa kuvumilia. Upo juu mno, big up!
  2. K

    Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Huyu Faiza Fox anakuaga na kauli za kukera lakini ana akili zaidi tunavyompa credit. Kwa mfano kwenye hii thread kaongea point tupu kwa wale tunaoelewa war on terror.
  3. K

    Fiesta inafanyika Usiku, Mikutano ya Kisiasa Mchana, kipi bora kwa Usalama wa watu?

    Kila iitwapo leo nasikia matangazo ya fiesta yakihusisha wakuu wa mikoa na makamanda wa mikoa. Fiesta hukusanya malaki ya watu hasa vijana wakinywa, wakizini na kulewa. Tena fiesta hufanyika karibu mwezi mzima tena nchi nzima. Upande wa pili, serikali imepiga marufuku mikusanyiko ya kisiasa...
  4. K

    Magazeti ya Tanzania msipopambana na Nape, mtaishia kuandika habari za CCM tu

    The Boss hii nchi inapotea taratibu. Media zishatulizwa. Upinzania ni one-man show inaitwa Lissu. Wakuu wa dini ambao nilitegemea wangekuwa mstari wa mbele kukataa hii hali ndio vibaraka wakuu wa serikali. Wasomi washatulizwa na uhakiki wa vyeti usioisha kwa zaidi ya miezi minne sasa. Baadhi...
  5. K

    Ninachompendea Magufuli ni Uwazi Wake

    Wana JF heshima kwenu? Ninajua wapo kati yetu tunaompenda Magufuli kupitiliza hali kadhalika wale baina yetu tusiompenda hata kumuita majina kama Dikteta. Demokrasia inawaruhusu wote kufanya hayo hivyo sitawaingilia. Kubwa ninalotaka kusema ni kuwa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Magufuli ni...
  6. K

    Haya ndio majina ya wakuu wa wilaya wa Kikwete waliotemwa na Magufuli

    Mimi ni Mkristo lakini kwa huyu Nawanda Yahaya nimepata huruma sana. Dogo si tu anaonekana anaelimu ya kutosha (kwa level ya DC) bali hata kazi anaiweza. Alipokuwa Singida nafikiri alipandisha sana kipato cha wakazi kule mpaka wakamuita DC wa kuku maana alitumia kuku kama njia ya kuwatoa watu...
  7. K

    Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    Mnaouliza nchi gani inaonyesha bunge live kwa saa 8 jibu lenu hapa. Australia ina dedicated channel inayoonyesha Bunge si tu live wakati wote likiwa hewani, bali inaonyesha bunge kwa saa 24 kwa maana kwamba live streaming ikiisha wanarudia matukio kwa saa 24. Suala eti watu wafanye kazi ni...
  8. K

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Nasema Lipumba umenikumbusha darasa la pili B nilipofundishwa na mwalimu wangu mama Msensemya comparative na superlatives. Kwa waliosahau mifano ni kama: good, better, best au bad, worse, worst. Sasa kwa Lipumba ni: KIPUMBA (kidogo), PUMBA (kubwa kidogo), LIPUMBA (pumba kubwa kuliko yote)...
  9. K

    Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Sababu ni kampeni wakati akiwa CCM sio UKAWA. Ni hivi. Wanaoratibu huu mpango tayari wamesema kuwa sababu moja wapo ya kumkata Lowasa kwenye kinyang'anyiro cha CCM ni yeye kuanza kampeni mapema. Kwa mujibu wa chanzo hiki, walimkata wakijua kuwa upinzani wangemshitaki kwenye tume ya uchaguzi kama...
  10. K

    Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Nimekuwa najiuliza kwanini CCM imekuwa kimya na tukio la Lowassa kuhamia CHADEMA-UKAWA. Leo nimepata jibu kwanini. Habari za uhakika toka jikoni CCM ni kwamba kuna mpango ushasukwa wa kumkata tena Lowassa. Ni hivi, Tume ya uchaguzi imekwisha kabidhiwa picha za mnato na video zinazomuonyesha...
  11. K

    Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

    Siwezi kuwa na "chuki binafsi" kwa mtu niliyemzidi kila kitu maishani kuanzia elimu, cheo mpaka fedha. Na ni ujinga kumtukuza mtu kwasababu tu kwa mawazo yako ni mchambuzi mzuri eti kwa kuwa anahojiwa na Channel Ten au BBC. Anyone mwenye muda wa kupoteza anaweza kwenda huko. Lakini muulize...
  12. K

    Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

    Prof? Huyu mpuuzi hana hata PhD uprof kautoa wapi? For the record, alikuwa admitted kufanya PhD 2004 ila mpaka leo status yake ni no-PhD. Majuzi kapandishwa cheo kuwa lecturer thanks to his good religion na connections za kihaya kwa Mukandala maana kwa sheria mpya huwezi kupata u-lecturer bila...
  13. K

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Mpaka sasa tumeshapewa uongo wa kutoosha kuhusu hili sakata la Dr Ulimboka. KWakuwa nina hasira kali, naomba nisiongee sana. Ninachowaomba ni nyie kama watu makini msome barua ya Chama cha madaktari halafu mniambie kivipi serikali ipo innocent katika umafia huu. Gazeti la Jamhuri lililotafuta...
Back
Top Bottom