Recent content by kamanda wa mara

  1. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Hivi watu mnaoendaga kupima VVU kila wakati huwa mnatafuta nini?

    Ukimwi kupimwa free anatumia vizur kodi yake Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Alinikataa Sasa kazalishwa ananikumbuka.

    Umenikumbusha mbali sana ,
  3. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Jpm angekuwa kikwete

    Bivacha imefata nn ,jibu hoja
  4. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Jpm angekuwa kikwete

    Polepole angekuwa selo Dr slaa angekuwa keko Dr bashiru angetumbuliwa mlimani asingekuwa katibu mkuu wa ccm Katambi tunge kuwa nae beach tunasubili ajira Alfornce mawazo angekuwa yupo hai Lisu angekuwa anawasaidia watanzania msaada wakisheria
  5. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nmetafakali sana kamanda wa mara

    Najua madamu ndalichako alifanyie kazi
  6. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nmetafakali sana kamanda wa mara

    NI MAWAZO TU KWA MFANO Ukimchukua mtu ukamfundisha kwa muda wa miezi 12 tu mambo muhimu kuhusu mafanikio kama vile kufanya kazi kwa bidii, kuwa mkweli, kuwa mwaminifu, kutofuja pesa, kuwa na malengo, kuwa na ndoto kubwa, kutokata tamaa nk. Mambo ya aina hiyo tu kila siku unamfundisha bila kumpa...
  7. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kitanda

    Maneno mepesi ila maana kubwa
  8. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Chuma kwa ugoko

    ```Jana niliingia zangu library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na MTOTO mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.``` ```Moyoni nikajisemea``` *: " FURSA "* ```Nikamsogelea, kwa sauti ya chini...
  9. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Miili ya Wanajeshi watatu wa JWTZ waliofariki katika nchi za DR Congo na Afrika ya Kati kuagwa kesho

    Daaaaa private mussa nlisomanae o level mwanza sec ,so sad boy
  10. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya kitanda

    Daaa n hatar
  11. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ufike: Mchango wangu juu ya matumizi mabaya ya neno "Ameen "

    Napenda kuchukua fursa hii kutoa mchango wangu juu ya matumizi mabaya ya neno "Ameen " Hili neno linatokana na neno la Kiebrania "Amina" likiwa na maana ya "Na iwe hivyo." Neno hilo lilitumika mwishoni mwa maombi kila wakati Wayahudi walipomwomba Mungu. Neno hili lilitumika kuonyesha...
  12. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Leo ningekufa

    Sisi hatuogopi hao ,tulisha dai Uhuru wetu toka zaman ,kwetu tunazaliwa tukiwa tumefuzu mafunzo ya tpdf
  13. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nukuu kutoka kwa venture culture William

    Watu wa aina gani
  14. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Florida maeneo fulani Uhuru mwanza,huyu jamaa yuko vzr buku 7 tu unapata na nguna
  15. kamanda wa mara

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye kosa

    [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] House girl alitandika kitanda cha bosi wake Kama Sehemu ya jukumu lake la kila siku. alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama hiki akasema ngoja nijaribu kulala lau kidogo, akavua nguo...
Back
Top Bottom