Recent content by kamanda ndule

  1. K

    Kwanini Rais Kikwete anabadilisha sana Bodyguard?

    kimsingi anayesimama nyuma yake kwa maana ya mpambe wa rais yeye ni ceremonial bodyguard na kisheria yule askari anatakiwa kuwa na cheo kuanzia luten kanal mpk full kanal kama utakumbuka hivi karibuni mhe rais aliwapandisha vyeo maaskari na hata yule mpambe wake alikuwa full kanal by the time...
  2. K

    Kwanini mh. Lowassa kaachwa mpaka sasa???

    Ndugu yangu Mmari nikuambie kitu kimoja Mh. Lowasa hakuna baya alililolitenda wakati wa Richmond nikurudishe nyuma nchi ilikuwa kwenye janga la kukosa umeme alichokifanya ni kuvunja sheria ya kipuuzi ya manunuzi ambapo ilitaka serikali itangaze tender ndan ya 45 days kama sijakosea na mpk umpate...
  3. K

    Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo

    Ni kweli na kuunga mkono inabid tutumie busara kidogo Dr anastahili kusamehewa maana hata mtoto akijisaidia kwenye kiganja huwez kukikata kiganja zaid ya kukiosha mpeni second chance tafadhalini
  4. K

    Msaada wa kueleweshwa juu ya Rasimu ya Katiba

    kwa wadau wote wa jf msaada tutani kwanza napenda ninukuu baadhi ya sehemu mbili ili nipatiwe ufumbuzi. kwenye rasimuu sehemu ya utangulizi para ya 6 nanukuu " na kwa kuendeleza, dhamira yetu hiyo muhimu:(a) kulinda, kuimarisha na kudumisha muungano wa nchi za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya...
  5. K

    Ole Sendeka: Hali ya CCM kuelekea 2015 iko taabani

    milya ana degree kutoka chuo cha Tumaini Iringa na sio UDSM
  6. K

    Kwanini cheo cha Naibu Katibu Mkuu UN kimefutwa?

    Napenda kuchukuwa fursa hii kuwauliza wana JF kwanini cheo cha Naibu Katibu Mkuu-Un kimefutwa je ni kutokana na mabaya aliyekuwa Naibu wake, au hii ni kutokana na kutokuwa na umuhimu wa cheo hiki? na je kiliwekwa kwa madhumuni gani hasa mpaka kikafutwa. Nawasilisha.
  7. K

    CHADEMA ilifoji sahihi ya msajili wa vyama vya siasa?

    duuh jamaa yupo shallow sana kama green guard ni kikundi cha ujasiliamali sasa hizo silaha kwenye picha zao ndio ujasiliamali wa kupiga watu badilika wewe usiwe kama mbululu shwain weee
  8. K

    Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    kama watanzania hatuna budii kuungana na ndugu za wana familia waliopeteza maisha wakiwa katika kazi ya kulinda amani mungu azilaze roho za mashujaa wetu mahali pema peponi
  9. K

    NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    jamani tuacheni unafiki kwani CDM ndio wakwanza kuunda mbona ya CCM au CUF hamsemi ifike wakati tuache unafiki sasa mbatia unakerwa na nini kipya au kisa umeteuliwa ubunge basi na ww ni wale wale ngoja rasimu ipite tuone kama utaweza gombea jimbo wewe
  10. K

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    ni kweli kabisa Mh.Lowasa anafaa kuwa rais naungana na ww kabisa huyu jamaa ana maamuzi magumu mfano wakati nchi inaingia gizani yeye ndiye aliyetuletea kampuni ya Richmond baadae Dowans lkn cha msingi sio kampuni je mitambo ilikuja ama laaa. mitambo ilikuja ila siasa sikatugharimu ukikumbuka...
Back
Top Bottom