kamanda ndule
Member
- Jul 10, 2013
- 10
- 1
Napenda kuchukuwa fursa hii kuwauliza wana JF kwanini cheo cha Naibu Katibu Mkuu-Un kimefutwa je ni kutokana na mabaya aliyekuwa Naibu wake, au hii ni kutokana na kutokuwa na umuhimu wa cheo hiki? na je kiliwekwa kwa madhumuni gani hasa mpaka kikafutwa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.