Recent content by kamajuzi

  1. K

    Picha zinatisha: Dereva bodaboda akamatwa akisafirisha maiti

    Hiyo niliiona kwa mara ya kwanza Kilwa ambapo baiskeli ndo zilizokuwa zinabeba akifika mghahawani alikuwa anaegesha baiskeli yenye mwili ktk mti na kuingia kupata chochote. Kule ni common kuona hayo walinishangaa mm kwa kushtuka. Mhusika huhudumiwa haraka mghahawani huku akipewa maneno ya faraja...
  2. K

    Gundu la kinyesi

    Wakati mwingine wezi wajapo kuiba asubuhi unakutana na kimba pia. Nia yao ni nini?
  3. K

    Nyumba inauzwa Mikocheni

    Bei ni $1.4m. Kwa maelezo zaidi ni pm
  4. K

    Nyumba inauzwa Mikocheni

    Ipo ktk eneo lenye 867 sqm ni ghorofa moja ina vyumba vya kulala 4, na facility zingine.
  5. K

    Kuna watu hufa mara mbili

    Nimefuatilia mada hii. Ningependa kujua zaidi. Nami naomba unialike ktk mada yako kama wengine walivyoomba. Kuna kitu nimejifunza hapa.
  6. K

    Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

    Ni tapeli na wengi wamemstukia na hawaendi kwa wingi km zamani. Pako patupu muda mwingi na aliwahi kutabiri ktk uchaguz mdog arumeru kuwa Sioi atashinda kwa kishindo majibu yakawa Nasari alishinda kwa kishindo. Je Mungu hudanganya? Wengi wameshamjua kuwa tapeli hawaendi tena. Ni biashara kwa...
  7. K

    CRDB Kariakoo ni kero

    Pia mlinzi anayeruhusu wateja kuingia ndani crdb kinondoni manispaa ni kero. Anavuta buku 5 na kutuhusu wengine zamu zenu majaliwa. Waweza ukawa wa 10 ktk no. But ukahudumiwa wa 40. Ni kero kubwa
  8. K

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Makutupora ilikuwa makutupoa. Nilikuwa Acoy op miaka 30 ya uhuru
  9. K

    Urafiki wa Kikwete na Lowassa

    Nimeipenda hiyo😆
  10. K

    LUKU imeanza kusumbua tena kama kawaida yake

    Hela imerudi mara kadhaa but nikabadili mtandao wao ndo wamesepa na hela yangu tangu jana. Usumbufu and they never apologies
  11. K

    LUKU imeanza kusumbua tena kama kawaida yake

    Nipo gizani tangu jana huduma tanesco hamna. So sad!
  12. K

    Sofa zinauzwa

    Nimejaribu kufungua hazifunguki
  13. K

    Kifo cha CCM kimetimia

    Acha kulidhalilisha kanisa na maccm. Ni misingi gani maccm wanayosimamia inayolingana na kanisa. Mmeanza kutugawa wakristu kwa waislam. Sasa mmegeukia ktk kugawa wakristu kwa wakristu. Hatimae mtatugawa waislamm ktk madhehebu ndani yake. Eg shia suni nk. Inshalla. Mungu tunusuru umoja wetu udumu
  14. K

    Kanisa la Kunduchi-Salasala laungua kwa radi

    @ mwendakulima. Hiyo nyumba nyingine haiko jirani sana kuna kadistance. Pia nadhani imeezekwa kwa vigae. Paa la kanisa ndo limechonga zaidi
  15. K

    Kiwanja Cha Ndege Cha Jenerali Wa Kiarabu Serengeti

    Naona hujajua wanayofanya huko. wanyama wanavunwa kila leo na wao hawahitaji kibali kuingia wala kutoka na mfalme wa saudia huwa ankuja mala nyingi kupumzika. wananchi wananyanyaswa, na mala nyingi wamekwenda hadi Dsm kwa wahusika kulalamikia kunyanyaswa na waarabu hao hakuna mafanikio. zaidi...
Back
Top Bottom