Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Toka jana kumekuwa na shida ya kupatikana kwa umume kupitia mitandao ya simu, Maxmalipo na selcom. Tuseme mtambo wa Luku ni kama yale mabehewa mabovu ya TRL au ile meli mbovu iliyowahi kununuliwa na waziri mmoja miaka ile?
Halafu Tanesco acheni kuvuta vuta miguu huduma zenu mbovu sana. Nashauri muwe na special thread hapa JF ili muwe mnapata maoni na malalamiko ya wateja.
Wake up Tanesco! Watu shughuli zimesimama toka jana kutokana na kukosekana kwa umeme. Ukweli Tanesco nayo inachangia kushuka kwa thamani ya shilingi yetu. Maana sasa hatuzalishi, hivyo tutauza nini?