Urafiki wa Kikwete na Lowassa

Urafiki wa Kikwete na Lowassa

Mbona pale stadium hamkuyasema haya.
Unaposema kikwete kamuumbua mkapa una maana gani mbona Mkapa anaendelea na shughuli zake na anaendelea kuheshimika.
Hivi wewe ulijuaje kuwa Mkapa ni fisadi kama si akina Rostum na Kikwete kuvujisha mafaili yake ya kujigawia Kiwira?
 
Lowassa anatapatapa.Anasema alimsaidia Kikwete kuingia madarakani na sasa na yeye anaomba amsaidie kupitia mikutano ya had hara,si amfuate amwombe!.Walipokubaliana hawakutushirikisha.EL jifunze kujishusha.Mwenzako kashika mpini
 
Hawa watu ni marafiki usikatae,shida inakuja kwamba unapokuwa na rafiki mwenye tabia mbaya arafu na wewe ukawa uheshimiki na jamii yako utaweza kutoka mbele ya kadamnasi useme jamani huyu anafaa. Kwanza b4 simna jadili mnapata na jibu kulingana na maupwaguzi yenu.
 
Mambo yalishakwisha na maamuzi yamefikiwa hii nchi haiuzwi kwa bei yoyote ile, na kujikomba mwanaume mzima kwa mwanaume mwenzio ni kijidhalilisha kupita kiasi ..in short Lowassa si mwanasisa sema anasaidiwa nà pesa za wizi ila tactics hazijuhi ndo maana utaona leo anakosoa, kesho anasifia mara anatukana, wakati mwingine anabeza ama tena anakuwa mpole na kuomba msamaha.

Amekuwa kama mtu aliyelukwa na akiri na hajui anatakiwa afanyeje, hata kujitangaza kwamba yeye na mheshimiwa hawajakutana barabarani na eti walipanga waachiane ni utoto pia, mambo yenu wawili unakuja kuyaanika hadharani kama si umbea nini, na ili iweje ama ndo unamshitaki, na je wakati mnapatana sisi tulikuwepo, sasa ya nini leo unabwatuka ili wakusaidie nini? huyu Lowassa hamna kitu zaidi ya kuwa mwana kaole mzuri.
 
Naanza kuelewa kwa nini Muhimbili wameanza kutoa tiba ya moyo na wanatangaza sana, nadhani itaokoa maisha ya wengi kipindi hiki.
 
Lowassa anatapatapa.Anasema alimsaidia Kikwete kuingia madarakani na sasa na yeye anaomba amsaidie kupitia mikutano ya had hara,si amfuate amwombe!.Walipokubaliana hawakutushirikisha.EL jifunze kujishusha.Mwenzako kashika mpini

Hii nchi sio ukoo kuwa viongozi wanaridhishana madaraka. Kama anajiamini kuwa yeye ni mtu mwema na sahihi kwa hii nchi atueleze sisi mana sisi ndo wananchi..
 
Kumbuka tu in politic there are no permanent friends. Lowassa alibeba lawama za madhambi ambayo Kikwete alikuwa mhusika mkuu, aliahidiwa kurudishwa serikalini hapo baadaye, haikutokea. Sasa Kikwete anaogopa Lowassa anajua madudu yake, na huenda akamuumbuua kama vile Kikwete alivyomuumbua Mkapa kwa kunasa nyaraka zake za siri.

Katika mahusiano ya kisiasa hilo huwa hali apply kabisa. Nafasi ya kwanza na njia utakayoichagua ili kmsaidia mwenzako usitarajie kuja kuitumia wewe kukufikisha pale, au usitarajie fadhila zake ili siku ufike pale alipo. Tarajia fadhila zake kufika sehemu nyingine tofauti na alipo, hapo utafanikiwa.
 
@Kichuguu

Rais wetu kwa jinsi alivyojipambanua katika hotuba zake za hivi karibuni hana muda mchafu wa kumfanya mtu mchafu kama lowasa kuwa mrithi wake. Hata ungekuwa wewe, kwa kutumia akili kidogo, je, unadhani kuwa atamkabidhi mtu asiyesafishika hata kwa dodoki na sabuni?

Akili yako changanya na akii ya kuambiwa halafu toa jibu. Utapata jibu mwenyewe. MKwangu mimi Hell nooooooooooooooooooooooooooo!
 
Urafiki ni kwa ajili ya kunywa chai pamoja sio kupokezana IKULU yetu.
 
Ilikuwa zamani. Urafiki ushatupwa kitaambo. Kinachofanyika sahizi ni kujichanganya kwa Lowassa kuihadaa hadhara kwamba bado ni marafiki lakini mafichoni ana hasira na Kikwete vibaya sana.
 
Mwalimu Kichuguu,

Katika urafiki huu, mmoja aliubeba msalaba wa aibu na kuwajibika kwa niaba ya mwenzake. Aliyekingiwa kifua badala ya kurudisha fadhila, kageuka kuwa ndumilakuwili.

Hili lazima liwe somo kwa Wanasiasa wetu, waachane na ushirika wa kichawi. Ni heri watu waaminiwe na kupewa dhamana na majukumu kutokana na uzalendo na umahiri wa kuwajibika kwa ufanisi kwa kufuata maadili na si kuutaka Urais kama mashindano ya Urembo!

Ahaaa mkuu wanamelemeta mashindano ya urembo na uraisi yote ya kuchaguliwa au kuteuliwa lakini hawasomei nyazifa hizo.
 
I beg to differ. Kikwete ni mwizi. Alianza enzi za IPTL akiwa waziri wa nishati na madini. Soma taarifa ya Brian Cocksley ndio utaelewa. Ametengeneza hela nyingi tu katika mikataba ya madini pamoja na kuhongwa na wazungu wanaochimba madini, hasa wale wa Nyamongo na ndiyo maana hawakuguswa licha ya kwamba ndugu zetu waliuawa huko kwa visingizio vya kuvamia eneo la machimbo ya mwekezaji. Kikwete is not clean at all.
usisahau yeye ndio alishika tender zote za kupeleka biashara Rwanda akiwa waziri wa mambo ya nje walivyowekewa vizuizi na umoja wa mataifa he is heavily reach
 
Mambo yalishakwisha na maamuzi yamefikiwa hii nchi haiuzwi kwa bei yoyote ile, na kujikomba mwanaume mzima kwa mwanaume mwenzio ni kijidhalilisha kupita kiasi ..in short Lowassa si mwanasisa sema anasaidiwa nà pesa za wizi ila tactics hazijuhi ndo maana utaona leo anakosoa, kesho anasifia mara anatukana, wakati mwingine anabeza ama tena anakuwa mpole na kuomba msamaha.

Amekuwa kama mtu aliyelukwa na akiri na hajui anatakiwa afanyeje, hata kujitangaza kwamba yeye na mheshimiwa hawajakutana barabarani na eti walipanga waachiane ni utoto pia, mambo yenu wawili unakuja kuyaanika hadharani kama si umbea nini, na ili iweje ama ndo unamshitaki, na je wakati mnapatana sisi tulikuwepo, sasa ya nini leo unabwatuka ili wakusaidie nini? huyu Lowassa hamna kitu zaidi ya kuwa mwana kaole mzuri.

Mkuu nani aliwahi kuwa Rais mzuri kwa nchi yetu?
1. Mwl Nyerere 95%
2.....................65%
3.....................50%
4......................25%
5......................????
 
Kichuguu

na sasa si tu hao " majamaa " wawili wana bifu kali lakini sasa " bifu " la kufa mtu limehamia kwa watoto zao riziwani na fredy. kazi ipo dodoma!
 
Last edited by a moderator:
Mambo yalishakwisha na maamuzi yamefikiwa hii nchi haiuzwi kwa bei yoyote ile, na kujikomba mwanaume mzima kwa mwanaume mwenzio ni kijidhalilisha kupita kiasi ..in short Lowassa si mwanasisa sema anasaidiwa nà pesa za wizi ila tactics hazijuhi ndo maana utaona leo anakosoa, kesho anasifia mara anatukana, wakati mwingine anabeza ama tena anakuwa mpole na kuomba msamaha.

Amekuwa kama mtu aliyelukwa na akiri na hajui anatakiwa afanyeje, hata kujitangaza kwamba yeye na mheshimiwa hawajakutana barabarani na eti walipanga waachiane ni utoto pia, mambo yenu wawili unakuja kuyaanika hadharani kama si umbea nini, na ili iweje ama ndo unamshitaki, na je wakati mnapatana sisi tulikuwepo, sasa ya nini leo unabwatuka ili wakusaidie nini? huyu Lowassa hamna kitu zaidi ya kuwa mwana kaole mzuri.

Hoja za msingi kabisa.
 
kwanza nimeshakupa " like " yako mkuu na kama utaweza naomba tutafutane angalau nikupe hata " mbuzi " tu ukachinje ule sikukuu hii ya " wenzetu " upande wa pili. sijawahi kuona mtu mwenye upeo mkubwa na kujua kuchambua na kujenga hoja zenye " mantiki " humu kama wewe tokea nianze kuvinjari humu jf. ulichokiandika hapo ni sahihi na ukweli mtupu na sitii neno kwani " umemaliza " kila kitu. namwomba mwenyezi mungu atuletee akina rweye 100 humu jf ili panoge na patukuke. big up mkuu!
 
Back
Top Bottom