Sofa zinauzwa

Sofa zinauzwa

Nauza Sofa set za reather (Brown) ziko katika hali nzuri sana (Excellent condition). Makochi madogo mawili (2) na kubwa la watatu (1). Bei ni laki tano (500,000). Picha zinagoma kudownload.

Mnaweza kunicheck kwenye Number yangu 0713 590 607. Nikakutumia Picha via Whatsup. Asanteni!

Nimekupm
 
....

Nawashukuru sana wadau wote wa jamiiforums kwa ushirikiano wenu.... Sofa zimeshaondoka... Asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom