Huo usanii mara nyingine unafanywa na wahusika wenyewe ili wapate sababu za kuhamishwa huko vijiji kirahisi ili waende mjini. Kama vile wanawake wanavyofunga ndoa fake na wanaume wa mjini
Ingekuwa wenzetu huko Ulaya kwa upuuzu alioufanya asingepata tena deal za kucheza matangazo maana kampuni makini haiwezi kujihusisha na watu wahuni, ila hapa Bongo eti hiyo ni kik
Inabidi uvumilie tu maana pale kuna ya Fifa na T
bc. Lakini ukweli ni kuwa hayo matangazo ndio yamesaidia wewe uweze kuona michuano hiyo bure kupitia TBC maana ungelazimika kulipia DSTV. Haki ya kurusha world cup ni ghali sana
kwa hawa wachambuzi wetu akiwemo Dr liki hakuna anaemfikia Mwl Kashasha. Zile mbwembe za kufahamu historia za timu na wachezaji ndio zinazowabeba akina Liki, lakini kwa uchambuzi wa kitaalam hakuna lolote
Hayo maneno mnayasema kila siku, lakini ukienda kuangalia reports za synovate bado TBC ipo kwenye tatu bora, sasa sijui tuwaiteni wanafki au hamko wengi. Wala huna haja ya kusema, kama hawana contents zenye mvuto obviously watu wataangalia channels nyingine maana hakuna anaelazimishwa kuangalia...
Mkandarasi, kabla ya kujibu hoja jiridhishe vizuri kitu kilichoongelewa, Nipashe wameongelea barabara ya kupita magari ya kawaida wewe unajibu barabara itakayopita magari ya mwendo kasi. Kwa namna hii hata kama una hoja watu watajua ni kama mtetea uozo tu.
watu wengi walikuwa hawajawahi kufika mikoa ya kusini kutokana na tatizo la miundombinu lilosababishwa na serikali ya awamu ya kwanza kuitelekeza mikoa hiyo, hivyo walidhani watu wa huko ni waajabu saana. kwa sasa kusini kumefunguka, watu wanaoenda huko ndio wanashangaa kuona kumbe mazingira ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.