Ilikuwa lazima TBC kufanya sherehe ya World Cup?

Ilikuwa lazima TBC kufanya sherehe ya World Cup?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Hivi wanajamvi kuna ulazima gani hasa kutumia resources za taifa hili kufanya ghafla ya kufunga kombe la dunia? Inanishangaza kuona mali za nchi na hata muda adimu wa nchi hii watu wanakaa na kujipongeza eti wameweza kurusha matangazo ya kombe la dunia.
 
Halafu mbaya zaidi wanajipongeza while hata kusikika hawasikiki like Steve naye hasikiki! Shame on them!
 
Kinachoendelea TBC1 sasa wako live leo studio kuna waheshimiwa na naibu waziri na waalikwa wengine,wakiwemo wasanii.

Swali langu je hili linatija kwa taifa nani anagharamia haya matukio.

ndo serikali yenu hiyo
 
Utaumiza kichwa ndugu hiyo ni TV ya chama.
 
Eti wamefanya kazi ngumu kurusha matangazo ya copy and paste. ..
Hii nchi mambo ya ovyo ndio yanapewa umhimu kwenye tv ya Taifa.
 
Yaani nimeshangaa! Shamrashamra tayari zimeanza uwanjani. Shakira na wenzake wanatumbuiza huku mashamsham kibao kwenye Supersports.. Wenyewe wanawaonyesha Steve Nyerere,Ommy dimpo na wenzake eti wanapeana mikono na mkamia,huku sound ikikatakata ile mbaya. Wajipange.
 
Eti wamefanya kazi ngumu kurusha matangazo ya copy and paste. ..
Hii nchi mambo ya ovyo ndio yanapewa umhimu kwenye tv ya Taifa.

Kwani kuna tukio gani linaloendelea?
 
Kinachoendelea TBC1 sasa wako live leo studio kuna waheshimiwa na naibu waziri na waalikwa wengine,wakiwemo wasanii.

Swali langu je hili linatija kwa taifa nani anagharamia haya matukio.

wamesema wanatekeleza ilani ya ccm
 
Unashangaa meli ilizama wao wakawa wanapiga rusha roho. Njoo hao watangazaji sasa sura ngumu kama chujio.
 
Kinachoendelea TBC1 sasa wako live leo studio kuna waheshimiwa na naibu waziri na waalikwa wengine,wakiwemo wasanii.

Swali langu je hili linatija kwa taifa nani anagharamia haya matukio.

Kwani ni lazima utazame? kuna ma channel kibao ya ndani na nje ya nchi. Ukisikia kuhororoja kwa nyanya mbichi ndio hivi.
 
Kinachoendelea TBC1 sasa wako live leo studio kuna waheshimiwa na naibu waziri na waalikwa wengine,wakiwemo wasanii.

Swali langu je hili linatija kwa taifa nani anagharamia haya matukio.
Mkuu Nyanya Mbichi, kwa vile walianza kwa tafrija, wanamaliza kwa tafrija na kupongezana kwa kazi kubwa na nzuri walioifanya kututangazia kombe la dunia!.

Lengo la kuitana ni ku share nazuri na wenzio.

Matukio hayo na mengine yote ya TBC yamegharimiwa na mimi na wewe, yeye na yule, sisi na wao, wale na yule, yeye na yule, na wao, na wale kupitia kodi zetu na hatuna tatizo na hilo.

Kuna sherehe ngapi za kitaifa zinagharimiwa na mabilioni ya shilingi what for, mbona hamsemi?!, badala ya kuishukuru TBC imekuletea kombe la dunia mechi zote bure, ndio kwanza unalaumu!.

Ama kweli watu hawana shukrani, ukimtendea meme, atalalamika, ukimtendea ubaya ndio kabisa!.

Watanzania tumezidi mno kulalamika, kila kitu kulalamika, kwani wewe ulitakaje?, pati iwe ya Brasil tuu tukifanya party huku unaumia roho?!.

Pole!.
Pasco
 
yaan wanakera sana sisi tunataka kuangalia sherehe za world cup wao wanacheka cheka na kina steve....hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom