Hivi ile silent Ocean ana husika nayo nani. Maana ukiwa nje unatakiwa kulipa tu hela kadhaa na mzigo unaletwa hadi mlangoni kwako. Hawa nao hawalipi Kodi na kuna mpigaji wa hiyo hela juu kwa juu
haya kuna huduma Mpya Kwa Hao wafanyabiashara. Kuunganishwa kumuona majaliwa 100M, Kumuona Gufuli 500M. Mie Kazi yangu Kuunganisha tu, outcome ha mkutano hainihusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.