Recent content by Kalinzi

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

    kwani act ikiwa ccm kuna tatizo kwani? wewe inakuhusu nini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    kwa hiyo hata hapo haujaelewa kwamba kuna ma RC ambao ni maccm ambao wanatakiwa kwenye kikao hicho na wapo wasio wana ccm ambayo hiyo haiwahusu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    WEWE acha umbeya wako. si lazima kila mkuu wa mkoa kuwa mwana CCM. hata pia ikitokea akahama wewe inakuhusu nini mbona kuhama ni kitu cha kawaida sana HATA MGOMBEA WETU PENDWA ALIHAMA TOKA CCM DAKIKA ZA MAJERUHI kwa hiyo wewe haupendi ccm yenyewe kupata wanachama kama wanapenda kwenda huko...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hatuwezi Kushinda Vita Hii Kwa Kutishana Na Kuogopa Kushitakiwa Na Wawekezaji

    UKIONA AMEULA NAWE VAA GAMBA UUMEZE KABISA
  5. K

    JamiiForums Tanzania Habari mwenye list ya INCOMPLETE watumishi wa

    mi naomba orodha ya watumishi wote walohakikiwa yaani wale waliokamilisha uhakiki
  6. K

    JamiiForums Tanzania Habari mwenye list ya INCOMPLETE watumishi wa

    mi naomba orodha ya watumishi wote walohakikiwa yaani wale waliokamilisha uhakiki
  7. K

    JamiiForums Tanzania 'Mkoa wa Chato' wapata upendeleo mkubwa miradi ya umeme vijijini!

    habari ndugu nimeona bandiko lako la umeme naomba utuwekee faili zima ili tuone mgawanyo ulivyo tafadhari
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Masaa 24 yajayo Vigogo wengine watatu kung'oka CCM

    wasimsahau serukamba
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Umefanyika Wizi wa shilingi milioni 369, mali ya chama cha wananchi CUF

    lipumba ni zaidi ya CUF kifikra yaani sijaamini ati chama kimeibiwa na mtu duuuuu hakuna chama hapo heshima kwako lipumba kweli umeonyesha UPROFESA WAKO WA MASUALA YA UCHUMI
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Ndugu wanajukwaa nimefuatilia sana suala hili suala na hatma yake nimeshindwa kuelewa kabisa je ben yu bukheri wa afya au la? kasapatikana au la ? najiuliza haya kwa sababu sisikii chama wala serikali wakilijadili hili sasa najiuliza hii manake nini au ile taarifa ya ben kuibuka ilikuwa kweli...
  11. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko halmashauri ya bihigwe Kigoma natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishakituo niende halmashauri ya Kigoma
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kigoma mjitathimini

    Mapema sana niliandika haya Topic: CHADEMA ikishinda Ubunge Kigoma Kaskazini nahama Jimbo Kalinzi 07:46 27th July 2015 . Uteuzi wa awali wa kugombea Ubunge CHADEMA umemalizika ambapo Dr Yared ameibuka kidedea pongezi kwake. Pamoja na kushinda uchaguzi ametumia mbinu chafu sawa na za CCM na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Namba s0894/0071/2011
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chadema makao makuu tengueni mgombea kigoma kaskazini

    kura ya maoni imemalizika rasmi na mshindi ni DR YARED FUBUSA pamoja na mtu huyu kushinda kagawa sana rushwa ili kupata uongoz labda tuseme fine shida ni huku mtaani ana sifa ya pesa lakini matendo yake hata kumdadi ni vigumu tukumbuke historia ya jimbo hili hawachagui chama wanachagua mtu na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikishinda Ubunge Kigoma Kaskazini nahama Jimbo

    Uteuzi wa awali wa kugombea Ubunge CHADEMA umemalizika ambapo Dr Yared ameibuka kidedea pongezi kwake. Pamoja na kushinda uchaguzi ametumia mbinu chafu sawa na za CCM na hayumo kabisa mioyoni mwa wapiga kura. Watu wanalalama kwa kuachwa kwa kipenzi cha wananchi ndugu Acran John , anguko...
Back
Top Bottom