CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

CCM hakuna watu mpaka ateue upinzani?

ccm yenye wanachama milioni nane wamekosekana watu wanaofaa? mim nauliza tu.
Hapana mkuu wale kina Anna ni CCM ila temporary offices zao zilikuwa upinzani kazi imeisha now wamerudishwa office kuu
 
Hii shooo tamu sana stellingi kama ????
 
We mtoa maada kichefu chefu kwani wapinzani sio watanzania? We kumbe hazikutoshi!!
 
nacho kijua presdnt anaamin ktk uchapakazi wa mtu, mama mghwila ukimsikiliza anaongea shida zilizopo tanzania na kutoa suluhisho,
kuliko chama kilicho uzwa wao ni lawama tuu kaa mtoto wa kambo hawana jema kila kitu kwao ni tatizo
Ateue na chadema basi kama ataweza au ana nia njema hiyo unayotaka kusema kwa nani asiyeweza kuongea kama alivyoongea mgwira hata mimi naweza nikipewa
 
nacho kijua presdnt anaamin ktk uchapakazi wa mtu, mama mghwila ukimsikiliza anaongea shida zilizopo tanzania na kutoa suluhisho,
kuliko chama kilicho uzwa wao ni lawama tuu kaa mtoto wa kambo hawana jema kila kitu kwao ni tatizo
Kwahiyo ccm waliobaki hakuna mchapakazi?
 
ccm yenye wanachama milioni nane wamekosekana watu wanaofaa? mim nauliza tu.

CCM haina wanachama 8,000,000; labda milioni nne au tano. Nafikiri Rais anateua wasio wana-CCM kushika madaraka ya mbalimbali ya kisiasa kwa sababu ameona wana uwezo kuliko waliopo CCM. Si vibaya Rais kuwateua wasio wana-CCM.
 
Ili tuamini kama ni kweli wanaoteuliwa ni wapinzani awateue na wengine kutoka CHADEMA asiegemee chama kimoja.
 
Ili tuamini kama ni kweli wanaoteuliwa ni wapinzani awateue na wengine kutoka CHADEMA asiegemee chama kimoja.
hiyo ndo nataka asifanye upendeleo afanye kwa cdm kama ataweza akishindwa act ni ccm b
 
Mimi nitaamini kuwa Rais ameamua kufanya kazi na wapinzani pale atakapomteua James Mbatia kuwa waziri wa Elimu, Tundu Lissu kuwa waziri wa Katiba na Sheria, Godbless Lema kuwa waziri wa Mambo ya Ndani, ...
 
Sasa wanaCCM wenyewe ndiyo hao wanabana pua kuigiza sauti kutengeneza kashfa unategemea nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom