Chenge ni mnyatuzu sio msukuma! Makabila haya mawili yametofautiana sana.Kuna moja ni wanafiki sana na jingine ni la watu wachache ila wanaojitambua kidogo.
Usitegemee kwa chenge kutokea kitu kama hicho.Ametafutwa mnafiki mmoja kutengeneza movie ili na wengine waige.
Sent from my Infinix NOTE...
Siku sio nyingi tutakuja kusikia mkituambia kwanini tusimtengenezee sanamu kubwa sana na tuliweke kwenye viunga vya jiji la dodomya ili kila itakapofika mwezi wa dahali basi kila Mtanzania itampasa kwenda kuanguka kifudifudi na kuliabudia na yeyote atakaye kaidi basi hata kuwa mzarendo na...
Waongeze na kipengele cha kuwaondolea kinga viongozi ili wakifanya uhuni tuwafikishe kisutu.
Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
Wanashindwa kuuliza kwanini mgodi wa makaa ya Mawe kiwila umesimama tena ambao ulikuwa ukifanya kazi eti wanauliza aridhi kweli watanzania ni mambumbu na malofa
Wakati mwingine acheni upumbavu kwani huo mto umeanza kutumika Jana? Mabonde mangapi yana limwa na kila aina za mbolea zikitumika katika Kilimo huko kapunga na kwingineko mbona hamsemi Kilimo kifungwe? Acheni wivu na husuda visivyo na maana ndio maana asilimia kubwa mnakuwa masikini kwasababu ya...
Kama haijaendelezwa anyang'anywe ila sio kule kwa huharibu maeneo yanayo zarisha.Sitakuwa mnafiki hata siku moja kuharibu ile miundombinu ya green house hawakufanya haki
Na bado mtaendelea kutokumuelewa sana tu! Sisi tunao mjua hilo tulilitambua tangia kipindi kile akipiga push ups majukwaani pale pale tukajua tumelamba galasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.