Kwa kilo pia tunauza bila shaka, lengo letu sio kumuumiza mkulima Bali kumsaidia stoke kwa kupitia kilimo. maelezo mengine unakaribishwa kuwasiliana nasi kwenye namba tajwa
Ubora wa mbolea za yara upo kwenye virutubisho vilivyomo. Mbolea hizi zipo katika mfumo wa punje punje ambapo kila punje ina virutubisho zaidi ya 6 ukilinganisha na mbolea zingine. Virutubisho hivi vinatofautiana kulingana na mahitaji ya zao.
Mfano YaraMila CEREAL mbolea ya nafaka
ina NPK...
Pata huduma hizi kutoka KILIMO JOINT 0683556677
- Ushauri ( consultation)
- Mbegu (Seeds)
- Mbolea (Fertilizer)
- Kuchua udongo kwa ajili ya kupimiwa (soil sampling)
- vifaranga vya samaki (fingerlings)
- Chakula cha samaki (fish feeds)
- Vitamini ya samaki (fish vitamins)
- Mabwawa ya samaki...
YaraMila WINNER, mbolea hususani kwa ajili ya mboga mboga na matunda. Mbolea hii inavirutubisho zaidi ya 6 kwa uiano unaohitajika kwenye mboga mboga na matunda. Ili kujifuza zaidi piga *149*50*31# BURE kisha jisajili au tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii @yaratanzania
Anneth Jacob au Mama Gilo, ni mkulima mdogo wa mpunga kutoka skimu ya lake tatu mkoani Arusha. Awali Mama Gilo alikua akivuna magunia 7 ya mpunga kwa kutumia mbolea za kawaida. Baada ya kupokea elimu ya lishe linganifu ya mimea kutoka #yaratanzania mazao yake yalianza kuongezeka kwenda gunia 22...
Sasa hivi tunaweka mawowo feki, kope feki, kucha feki, ngozi feki hakuna uhalisia wa urembo wetu. Tujikubali kwanza then tutaonekana warembo. Of course wanaoonekanaga na kuwekwa kwenye rating ni wale wanaojulikana zaidi kama masuper stars lakini wakienda umang'atini watatuweka watanzania namba 2
angeanzisha campaigns za kuhamasisha wananchi ili watoe damu. Hali ya maisha duni mtu hata kula vizuri milo mitatu yenye tija kazi anaweza tu wapi akapate hela ya kununua mchicha. Wape watu matembele na vitu vyote vinavyosababisha damu kuongezeka mwilini, wale mlo wa kushiba na kuwapunguzia...
Kilimo Cha Tikiti.
Je unataka kujitunza kuhusu kilimo cha matikiti? wasiliana nasi kwenye Whatsapp namba 0683556677 Kwa ada ya shilingi elfu mbili tu uweze kuunganishwa kwenye group.
Kumbuka ada hii ni kwa ajili ya somo hili tu. Kila wiki kutakua na masomo tofauti tofauti kuhusiana na Kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.